Be aware ,rick ross na jeezy ndio wana pesa nyingi

Ok guys nadhani tunawajua rick ross na jeezy hawa watu naamini ndio wanasemekana
wana pesa sana maana wana miliki vituo vingi vinavyo supply cocaine na bangi nchini marekani
jeezy akishikilia vitUo Los Angels na ross anashikilia vituo Miami

Naomba maoni juu ya hii subject

We dogo unasound kama teja au uliharibiwa ukiwa mdogo, utajiri haupimwi kwa kiasi gani cha pesa ulicho nacho mfukoni au kwenye akaunti benki. Utajiri unapimwa kwa real assets unazomiliki. Nenda usirudi tena humu JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom