Be aware ,rick ross na jeezy ndio wana pesa nyingi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Ok guys nadhani tunawajua rick ross na jeezy hawa watu naamini ndio wanasemekana
wana pesa sana maana wana miliki vituo vingi vinavyo supply cocaine na bangi nchini marekani
jeezy akishikilia vitUo Los Angels na ross anashikilia vituo Miami

Naomba maoni juu ya hii subject
 
Wana hela ya kula tuuu,ebu mcheki brayan william aka birdman #1 stunna ana buggati kanunua usd 2mils ana maybach kanunua 1.5mils usd,hao kina y.jeezy na ross wana mipunga ya kawaida tu kama ya kina weezy khlifa na bow wow tu,wenye long money kina diddy,50cent(filisehn),jigga etc
 
una uhakika na unayosema ?
 
ushasikia wanauza cocaine na wanaingiza tons of cash birdman a.k.a birdie boy hamna kitu kabisa
 
shule zikishafunguliwa thread za kipuuzi kama hizi hazitakuwapo ngoja hawa form four waende form five na form six waende vyuoni angalau tupumue
 
Wana hela ya kula tuuu,ebu mcheki brayan william aka birdman #1 stunna ana buggati kanunua usd 2mils ana maybach kanunua 1.5mils usd,hao kina y.jeezy na ross wana mipunga ya kawaida tu kama ya kina weezy khlifa na bow wow tu,wenye long money kina diddy,50cent(filisehn),jigga etc

Nahisi unaongea kwa hisia zaidi na si ukweli, jay zee ana ela zaidi ya huyo birdman. Kutokana na jarida ya forbes hii ndo list yao
#1 .Sean “Diddy” Combs Net Worth: $500 million
#2. Shawn “Jay-Z” Carter Net Worth: $450 million
#3. Andre “Dr. Dre” Young Net Worth: $250 million
#4. Bryan “Birdman” Williams Net Worth: $110 million.
#5.Curtis “50 Cent” Jackson Net Worth: $100 million

Hiyo ndiyo top five yao according to forbes 2011/2012 sasa wewe sijui hizo habari umezitoa wapi????
 
wewe ujajua,forbes cash king wanatoa aliongiza pesa nyingi kwa mwaka fulani,unaposema birdman ayupo kwenye top five,ina maana kwa huo mwaka lakin kiujumla birdman anatisha kwa mkwanja anakadiriwa kuwa na kama 500 million USD
 
Birdman ni #4 na mkwanja anaokadiliwa kuwa nao ni huo $110 million according to forbes sasa wewe source yako ni ipi mimi ukitaka hata link 5 ntakupa. Wewe source ni ipi na forbes si jarida la udaku kama ijumaa.
Na unaposema aliyeingiza pesa nyingi kwa mwaka sikubaliani na wewe kwakuwa kila msanii aliyepo hapo wameweka mapato yake kuanzia miaka 3 nyuma na jinsi yalivyokuwa yakipanda na overoll wealth aliyo nayo usitake mislead watu kuwa wanatoa tu nani kaongoza kwa mapato kwa mwaka
Au ndio story za kahawa za wabongo za kuongea kwa hisia tu
 
Nahisi unaongea kwa hisia zaidi na si ukweli, jay zee ana ela zaidi ya huyo birdman. Kutokana na jarida ya forbes hii ndo list yao
#1 .Sean “Diddy” Combs Net Worth: $500 million
#2. Shawn “Jay-Z” Carter Net Worth: $450 million
#3. Andre “Dr. Dre” Young Net Worth: $250 million
#4. Bryan “Birdman” Williams Net Worth: $110 million.
#5.Curtis “50 Cent” Jackson Net Worth: $100 million

Hiyo ndiyo top five yao according to forbes 2011/2012 sasa wewe sijui hizo habari umezitoa wapi????

Mkuu haujanielewa vizuri nadhani,,,nimesema ross na young jeezy wana mipunga ya kawaida tu kama mipunga ya kina weezy khalifa na bow wow,nikamwambia kama ross na jeezy wana mipunga,je birdman(#1 stunna) utasema ana nini? Nikamwambia wenye hela ndefu ni kina diddy,50cent,jay-z etc,hakuna statement niliyosema kwamba birdman ana hela kuwazidi kina diddy.
 
au kipimo cha utajiri kwako ni magari mheshimiwa?

Kipimo cha utajiri ni magari anayomiliki,magari yana reflect utajiri(worth ya mfuko) wa mtu,ndio maana sijawahi ona mfanyakazi wa kawaida (civil servant) anapush vogue,porsche,jaguar::: mwaka 2002 birdman alikua na magari ya maana zaidi ya 50 ya kutembelea tu!!! Magari si utajiri lkn yanareflect utajiri wa mtu,haiwezekani upush vogue barabarani halafu kwenye account uwe na elfu60 tu hio kitu haipo!!
 
Jamani msifatilie forbes drug dealer hela zake haziingizwi kwenye forbes

Unataka watu wasifuatilie Forbes wafuatilie Shiny C ndy anajua kuwa hawa jamaa wanauza mihadarati, tena na vituo vyao Shiny C anavijua lakini FBI hawavifahamu wala Serikali ya Marekani haifahamu maingizo yao isipokuwa Shiny C!!!!!!!! Shule zikifungwa kweli JF inakuwa na vituko.....:A S 13:!
 
Mkuu haujanielewa vizuri nadhani,,,nimesema ross na young jeezy wana mipunga ya kawaida tu kama mipunga ya kina weezy khalifa na bow wow,nikamwambia kama ross na jeezy wana mipunga,je birdman(#1 stunna) utasema ana nini? Nikamwambia wenye hela ndefu ni kina diddy,50cent,jay-z etc,hakuna statement niliyosema kwamba birdman ana hela kuwazidi kina diddy.

Sorry mkuu kweli nlikusoma vibaya nmekurupuka kukujibu kumbe ulikuwa unamjbu shinyc kuwa hao hata birdman hawamfikii wala hujaongelea kama birdman ana ela kuliko jay z.
Am sorry sasa nimekusoma baada ya kuptia comment yako upya
 
Watoto music videos zinawaharibu sana...kila wanachokiona humo wanadhani ndivyo hivyo!!! na wanadhani wanamuziki ndio wenye hela duniani kumbe ni dagaa katika shimo la papa.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom