Bbm Pin....

Bora ningekuwa nina hiko kisamsung mimi natumia Nokia hiyo hapo chini
nokia1100.jpg

Tf hii ndio yenyewe sasa
Hakuna cha pin wala nini
 
Jaman mamito wangu king'asti na Kongosho mmenichekesha sana lol!
Mie nina elfu saba zangu huko tandale mall nitapata bb ya aina gani nikipata nitaweka bb pin yangu hapa kila mtu ani add lol!
:eyebrows::smash::A S-coffee::photo:
 
Mdogo wangu, hiyo buku 7 utapata chaja. Nunua chaja kwanza, afu dingi akitupa ile hela yakumfumania ili tusimuambie mama utaendas kununua BB.
Jaman mamito wangu king'asti na Kongosho mmenichekesha sana lol!
Mie nina elfu saba zangu huko tandale mall nitapata bb ya aina gani nikipata nitaweka bb pin yangu hapa kila mtu ani add lol!
 
Bora ningekuwa nina hiko kisamsung mimi natumia Nokia hiyo hapo chini
nokia1100.jpg
Hapa wala hatuchekani,kumbe na yako haina hata kamera km yangu lol!
Ila haya mambo ya kuleta BB party ni kubaguana tu mbona hata hizi zetu tukiwapigia wanapokea na mawasilianao yanaendelea!!au sie kutokuaccess hayo ma bbm yao ndio watubague!!!sijaipenda hiyo tabia kbs!
 
Wabongo bwana, eti siku hizi kama mtindo wa kuomba namba ya simu umeisha flani hivi...kila mtu utakayekutana nae anakuomba BBM Pin, eheeeee msinifanyie hivyo jamani sio kila mtu ana Blackberry...

Enzi hizo simu za mkononi zinaingia ilikuwa hivi hivi ni mapito tu haya
 
Hapa wala hatuchekani,kumbe na yako haina hata kamera km yangu lol!
Ila haya mambo ya kuleta BB party ni kubaguana tu mbona hata hizi zetu tukiwapigia wanapokea na mawasilianao yanaendelea!!au sie kutokuaccess hayo ma bbm yao ndio watubague!!!sijaipenda hiyo tabia kbs!
Wewe usiye na Blackberry unalipa 20,000 wenye Blackberry wanaingia bure...:A S embarassed:
 
Mdogo wangu, hiyo buku 7 utapata chaja. Nunua chaja kwanza, afu dingi akitupa ile hela yakumfumania ili tusimuambie mama utaendas kununua BB.
Kwa vile line nilishanunua,ngoja ninunue na chaja kwanza then tukimtishia yule mdingi kwa lile fumanizi hatutakosa mshiko pale then unanisindikiza naanza kumiliki bb,then nakupatia na bb pin yangu!
 
Hiki ndio mpango mzima halafu mtu akicheki salio anakuta kuna muda wa maongezi wa laki mbili

Mkuu washangae tuu hao
Wakishindwa kulipa tuu au kuweka air time ya kutosha kitu kinafungwa
Wanaringa tuu na hizo BBM Pin zao wakiwa na air time za kutosha
Mtu una BB halafu salio buku mbili
Wacha nikae na torch yangu salio laki tatu
 
yellowberry je unataka?

Afu tandale gram ya dhahabu 3500
ni hii hii ya buwagi au ya kiwira?

Jaman mamito wangu king'asti na Kongosho mmenichekesha sana lol!
Mie nina elfu saba zangu huko tandale mall nitapata bb ya aina gani nikipata nitaweka bb pin yangu hapa kila mtu ani add lol!
 
sheria za kwenda tandale mall kimavazi

1. Vaa dera la 4875, kama la nylon na mtandio wake
2. Vaa ndala
3. Hela ficha kwenye bra

sasa kama unaenda na skuna na skin jeans utajibeba
Sasa tandale mall si watakuibia hadi viatu kwa mchakato wa kupata bb ya bei hiyo? Unletee nyanya masalo kindoo kimoja ntaku-refund. Mi natengeneza kibubu kabisaa
 
Back
Top Bottom