Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
One hit wonders!
Ndio maana tunapigania Uongoz wa BAWACHA UVUNJWE KWA MASLAH YA CHAMAWakinamama ni mtaji wa CCM !
Mngelifahamu hili zamani mngewekeza nguvu nyingi huko.
Kwel mkuu Esther anaweza kuifufua BAWACHA YUKO WAZ HAPEPES MACHOMpende msipende Ester Wassira ni jembe ambalo likitumika vizuri na jamoi mavuno yake yataonekana tuacheni chuki binafsi.
Nyota njema huonekana asubuhiAcheni utoto. Mtu hana hata mwezi kwenye chama tayari umeshajua ni makini kuzidi wanawake wote wa CHADEMA? Acheni siasa za Form IV.
Nyota njema huonekana asubuhi
Ni kweli mkuuEsta Wasira apewe nafasi ameonyesha anaweza
Bija BAWACHA IMARA KUCHUKUA DOLA 2015 MH!
Wanawake wana nafasi kubwa sana kwenye ukomboziLazima bawacha ikae wema
Wanawake wana nafasi kubwa sana kwenye ukomboziLazima bawacha ikae wema
Kwa maslah ya CHADEMA NA TAIFA UONGOZ BAWACHA UONDOLEWE KUENDELEA KUBAKI NAO KUTAKIGARIMU CHAMAWanawake wana nafasi kubwa sana kwenye ukombozi
Wapo kina mama wengi mahiri ndani ya CDM. Tusije kuendesha chama kwa mlipuko.