Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,542
- 93,168
Disinfest ur Brain...
Hiyo lugha Kenya mpaka machokoraa wanaongea, sio dili hapa ni hoja kwa hoja na sio porojo.
Disinfest ur Brain...
Heche mwenyewe kachaguliwa kwa rushwa, zengwe, (Bavicha) leo na yeye anataka kuwaingiza watu barabarani hii kweli ni Deceit kabisa
Kwa mujibu wa Ibara ya 63 b ya Katiba ya Tanzania kazi za Mbunge ni kuismamia na kuishauri Serikali. Hakuna popote palipotajwa kuwa mbunge ataleta maendelo katika jimbo lake. Hiyo ni aina fulani ya ufisadi na ubinafsi kwa wananchi wa jimbo fulani kutaka mbunge alete maendelo katika jimbo lao tu na kuacha kuisimamia Serikali ipasavyo. Ndio maan madini na raslimali za Tanzania hazina wasimamizi kwa kuwa wale wanaochaguliwa kama wawakilishi wa wananchi (Wabunge) katika kuismamia Setikali yenye mamalka ya kuisimamia fedha, madini na raslimali zote za taifa wako busy kutafuta maendelo ya majimbo binafsi tena mabya zaidi kwa kuwapoigia magoti mawaziri wa Serikali waliyopaswa kuisimamia!!!
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO. wajinga wameshaliwa. watu wanajifanya mabalozi wa kukijibia Chama humu, kumbe hawakijui chama wala hakiwajui wao. Unacheza wewe! Mtu ameshindwa kwenye dini ndo aje aweze kwenye siasa?
Niliwaambia kwenye nyuzi nyingine kule watumie "scientific approach" kwenye siasa. Hawajui kuwa ngoma ikivuma sana hupasuka. Hawana jipya na hao wanaoandaa maamndamo wamejipatia njia moja ya kujipatia posho kiulaini.
Ningeshangaa sana ningeona cdm hawafanyi maandamano, wataulizwa na wafadhili, vipi? tunawapa pesa za maandaano halafu nyie hamfanyi. Ina bidi wayafanye wakitaka wasitake. Kuna watu wameshachnga deal kwenye haya maandamano, ngoja tutafite data zao..
Halafu rushwa zenyewe walizianika humu JF mpaka za shillingi 1,500/= Wananchekeshaa!
Heche mwenyewe kachaguliwa kwa rushwa, zengwe, (Bavicha) leo na yeye anataka kuwaingiza watu barabarani hii kweli ni Deceit kabisa
Kuna hawa Wabunge wa Mwanza, jimbo la Nyamagana, Ezekiel Wenje huyu Mbunge machinga wa Mwanza sehemu za makoroboi, mirongo, bugarika, na maeneo mengine awataki ata kumuona, wakati wa kampeni aliwambia mkinachugua nitahakikisha mnabaki sehemu zenu za kazi, baada ya kupata ubunge amewambia wahame, Ubunge wake umebakia kwenye maandamano tu.
Huyu Mbunge mwingine wa jimbo la Ilemela. Hayness Samson, huyu ndio hatakiwi kabisa Mwanza yeye tangu achagulie yeye anakaa Dar es Salaam, yeye kiguu na njia kwenye maandamano kila kukicha
Unajitahidi, nikupe zawadi ya nyama nguruwe, ukishiba mpelekee ritz. Sawa?Ningeshangaa sana ningeona cdm hawafanyi maandamano, wataulizwa na wafadhili, vipi? tunawapa pesa za maandaano halafu nyie hamfanyi. Ina bidi wayafanye wakitaka wasitake. Kuna watu wameshachnga deal kwenye haya maandamano, ngoja tutafite data zao..
Kwa nini wanatoa ahadi? Mfano Mbunge wa Arusha aliahidi Machinga Complex mbili, hilo alilitoa kwenye Government Plan au wapi?
Ningeshangaa sana ningeona cdm hawafanyi maandamano, wataulizwa na wafadhili, vipi? tunawapa pesa za maandaano halafu nyie hamfanyi. Ina bidi wayafanye wakitaka wasitake. Kuna watu wameshachnga deal kwenye haya maandamano, ngoja tutafite data zao..
Hiyo lugha Kenya mpaka machokoraa wanaongea, sio dili hapa ni hoja kwa hoja na sio porojo.
Ni heri CDM kama wanapata fedha kutoka wafadhili kwa kuwa hawasababshi kifo cha mtanzania hata mmoja kulko wizi wa fedha, madini na raslimali za umma unaofanywa na CCM, viongozi wake na watendaji wa ke wa Setrikali ambao kila mwaka husababisha vifo vya maelfu ya watanzania kwa kukosa matibabu, maji safi, chakula.
Kwani hizo pesa anazotumia Nape kungurumisha shangingi nchi nzima kugawa khanga za CCM na propaganda si zinztoka katika mfuko wa Serikali pia ambazo zilizpswa kuzuia vifo vya akina maam wajawazito?
Nakubaliana na wewe mkuu!lakini kinachonishangaza ni mtiririko wa hoja,kwani hoja ya msingi ilikuwa maandamano yanayotarajiwa kufanywa na BAVICHA,gafla mkaamia kwenye utekelezaji wa ahadi za wabunge wa CHADEMA,sasa hapo napata shida kuelewa!kwa nini tusijadiliane kwa hoja!na kwa nini tusijadili hoja specific iliyopo mezani?hatushindani lakini nijuavyo mimi ni kuwa tunabadilishana mawazo na hasa ukizingatia CDM na CCM ni vyama vya siasa nchi kwetu!naomba tujadiliane kwa hoja!!