Basi la Dar Express laungua moto

mizigo ndo imeteketea...first year walokua wanakuja na vyeti vyao mjini nawahurumia sana

Hivi inaweza tokea hivyo eenh...lakini sidhani mtu unasafiri na vyeti halafu unavihifadhi katika mzigo wa chini
 
Nimefurahi sana kukuta updates facebook kuhusiana na basi kuungua
Picha kwa hisani ya jamiiforum jf rocks

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
attachment.php

certainly,there must be something wrong with these buses.it'z about two to three days past when da same incidence happened to one of da buses traveling from kigoma to mwanza so called adventure caught fire into ashes as it'z relatively taking place over there!!
I call upon those people concern with road safety pay much attention to this sort of default.
cauz as days go by the number of deadly incidence become enormous via transport vehicles and da majority of hard working middle class are making losses without reparation being paid to them anymore.
 
Hajalitia kiberiti kweli huyu Mchaga, maana hawa jamaa wakikata comprehensive insurance lazima wachome tu, iwe ni duka, nyumba, gari lazima lipigwe kiberiti hela irudi!
 
Hajalitia kiberiti kweli huyu Mchaga, maana hawa jamaa wakikata comprehensive insurance lazima wachome tu, iwe ni duka, nyumba, gari lazima lipigwe kiberiti hela irudi!

Hata mie naanza pata shaka jamaa kaanza kutumia mbinu za wahindi kuchoma moto wenyewe,tukio hili kama la kupanga,gari inaonekana ilipaki tu angalia kigogo,haikuwa ktk motion
 
Watanzania wawe wakweli na wajali maisha ya wanadamu.I like Azam ambaye ukiingia kwenye boat utakuta anaenda na wakati .Kuna vifaa automatic vya kuzima moto kwenye magari lakini wote wananunua vya mkononi ambavyo si msaada .Kuna DSPA 5 special kwa magari , pia kwa ajili ya majumba , sever rooms ,control rooms,mashule, kumbi za mikutano , makanisani lakini Mtanzania anaona ni gharama ku invest ila yakitokea kama haya ndipo ana anza kulia lia .Hawa jamaa wa DSPA 5 wako Dar na vifaa vya kisasa mno .Watafuteni

0685 252525 au 0767 554433

Usalama wa mali yako uje kwanza na wewe mwenyewe usingoje hasara .Waafrika bwana !!!!
 
kwel mungu hupo' nyuma ya bas wameandka in God we trust... M sure wangekuwa wameandka chagua ccm wa2 kbao wangekufa
 
Dar express limeungua hapa segera ndo nimekuta wamemaliza kulizima, hakuna majeruhi ila mali zimeungua
 
Back
Top Bottom