Basi la Dar Express laungua moto

watanzania wawe wakweli na wajali maisha ya wanadamu.i like azam ambaye ukiingia kwenye boat utakuta anaenda na wakati .kuna vifaa automatic vya kuzima moto kwenye magari lakini wote wananunua vya mkononi ambavyo si msaada .kuna dspa 5 special kwa magari , pia kwa ajili ya majumba , sever rooms ,control rooms,mashule, kumbi za mikutano , makanisani lakini mtanzania anaona ni gharama ku invest ila yakitokea kama haya ndipo ana anza kulia lia .hawa jamaa wa dspa 5 wako dar na vifaa vya kisasa mno .watafuteni

0685 252525 au 0767 554433

usalama wa mali yako uje kwanza na wewe mwenyewe usingoje hasara .waafrika bwana !!!!
kweli kufa kufaana hapa sio mahali pakutangaza biashara yako acha ujinga wewe yani mpaka unakera
 
Hata Scandnavia nao walianza hivi hivi!!! Hii kampuni inakufa sasa! Ina magari machovu kupindukia. Siku moja nimepanda arusha-dar. Basi lilitoka karatu likiwa bovu kweli kweli!
Acha majungu....hakuna kampuni ya mabasi ya kuifikia Dar Express.
 
Wadau naskia gari la darexpress leo,limewaka moto maeneo ya segeramwenye up dates zaidi tafadhali
 
Hii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote
inawezekana pia kuwa hicho kigogo kiliwekwa baada ya Moto kuanza, yaani baada ya basi kusimama na kigogo kikawekwa kusaidia break huku abiria wakitafuta pakutokea, ni LABDA LAKINI
 
Back
Top Bottom