Basi la Dar Express laungua moto

jamani haya mabasi ya dar express si ndio yanayosifiwa kwa trip ya arusha?nilivyoenda arusha kwa mara yangu ya kwanza august,kila mtu mtu aliniambia basi zuri la dar express.kwenda na kurudi nililikosa,maana siti zilijaa.
 
kweli kufa kufaana hapa sio mahali pakutangaza biashara yako acha ujinga wewe yani mpaka unakera

Umeumia sana hadi unatokwa na povu .Habari nzima wewe umeuona hii tu ? Lazima wajue wanaweza kuokoa mali za watu na kupunguza ajali kwa kuambiwa juu ya DSPA 5 sasa wewe umeumia wapi ?
 
Tunataka Wizara ya Mambo ya Ndani itupe updates za idadi ya vifo na majeruhi wa ajali za barabarani kila mwisho wa wiki.

unataka updates za vifo na majeruhi kwani we nani,cha msingi ni kuangalia jinsi gani ya kujitoa katika majamga haya sio kupata updates za vifo.
 
Mambo ya 2012 ndo unastua watu sasa hivi au ndo kampeni ya kumchafua mzee Mremi
 
Hivi kwanini hakuna sheria ya kuwabana watu wanaotoa taarifa za uwongo hii picha niliiona fb ni tukio la miaka iliyopita leo unakurupuka kuleta taarifa isiyosahihi kwa uma,mi nafikiri wanasheria wakifanya kazi yao hili nalo ni dili sioni sababu ya wanasheria kukaa mtaani wakati fursa kama hizi zinajitokeza,vifungu tu waanze kuweka watu ndani.
 
huyu jamaa kama awezi kufikiria nyuzi za kuja nazo hapa jamvini Awe ananitafuta nimpe thread za kuanzisha baada y dakika mbili naanzisha uzi atembelee thread ajifunze ubunifu
 
Back
Top Bottom