Basi la Dar Express laungua moto

ccm iko kazini ukianzia ghala la sigara, leo asubuhi wilayani kahamni (ngogwa) na hii ajali tena ya segera ni hali ya huzuni sana tuweni makini na hawa wachawi wanatuma majini yao kwenda kunywa damu za watu tutasikia ajali nyingi sana kwa muda mfupi maana ndio zao ccm
 
Ma Bus , Lori Wanatakiwa kufunga DSPA 5 ili kusaidia kuzima moto utokeapo na ikibidi wafunge DSPA ndani pia aina ya automatic wanaweza kupata taarifa za vifaa hivi namba hii

0685 252525 au 0767 554433 wanaweza kuokoa maisha ya watu ukitokea moto make safety to come first

No one care
 
Duh! Poleni sana wasafiri. Juzi tumeambiwa basi la Adventure toka Mwanza kwenda Kigoma nalo limeungua. TBS wana kazi ya ziada ya kuangalia ubora wa vyombo "fake" vya usafiri, hususan mabasi.
 
poleni sana wahanga. ajali hii imenikumbusha ya mohamed trans mwaka 2007 by that time nilikuwa naenda singida kwenye field ya mwaka wa pili we acha tu msiombe washikaji.
 
Ma Bus , Lori Wanatakiwa kufunga DSPA 5 ili kusaidia kuzima moto utokeapo na ikibidi wafunge DSPA ndani pia aina ya automatic wanaweza kupata taarifa za vifaa hivi namba hii

0685 252525 au 0767 554433 wanaweza kuokoa maisha ya watu ukitokea moto make safety to come first
Mkuu kwa jinsi hili basi linavyoungua, naona hakukuwa hata na fire extinguisher hapo. balaa! Nakumbuka miaka kama 7 iliyopita basi la Champion la Dar-Dom lilianza kuwaka moto maeneo ya Kingolwira cha ajabu hakukuwa na kitu chochote cha kuzimia moto, bahati nzuri lori la jeshi lilikuwa linapita ndio likasaidia kuuzima huo moto.Lakini bila ya hivyo basi lingeteketea kama hilo la Dar Express ktk picha!
MY TAKE:Inawezekanaje basi linabeba maisha ya watu zaidi ya 50 halina vifaa vyovyote vya kuzimia moto. This is a death trap jamani!
 
Jamani abiria na ndugu zao poleni sana, kamati ya maafa lazima itoe msaada wa nguo na vyakula kwa waanga
 
Hii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote

Good assumption! Umeisoma vizuri ile picha mtu wangu! Picha pia ni habari, kuielewa yataka weledi!
 
vubzr.jpg

Inatisha sana, dah! Marcopolo walitoa, moto umetwaa.
 
mizigo ndo imeteketea...first year walokua wanakuja na vyeti vyao mjini nawahurumia sana
 
Afadhali abiria wamepona. Mali zilizoteketea zinaweza kununuliwa. Uhai ukipotea hauwezi kurudi. Poleni sana wahanga. Mungu ashukuriwe kwa kuwanusuru na mauti.
 
Sasa jamani mimi kyekue ntakuwa napanda gari gani meku?ntaacha kusafiri kweli maana haya ndo nlikuwa nayaamini eti,cha muhimu wote wazima mizigo si kitu uhai kwanza
 
Mkubwa! Nakumbuka kwenye post yako moja ya leo asubuhi ulisema uko safari lakini kutokana na Mungi kurusha live toka mahakamani A town matukio.
Pole sana Kamanda!
Na ukasema kutokana uwepo wa JF utafikiri nawe upo mahakamani!

Bila shaka mtalipwa na Kampuni lengwa mizigo yenu iliyoteketea!

 
Duh,thank GOD hakuna aliyejeruhiwa.Haya mabasi wanahitaji kuyakagua upya.On september 9,kuna Dar Express moja ambalo tulikuwa tunasafiri nalo kuelekea Arusha lilinusurika kuwaka moto maeneo ya korogwe(10Kms away from Korogwe mjini).Nimejaribu ku-upload video lakini imekataa.Kwanza fire extinguisher waliyokuwa nayo,ilikuwa ndogo sana,haikusaidia kitu.Thank to GOD tuu,kuna mkandarasi anayeitengeneza hiyo barabara alituma gari la maji ndio likasaidia.Fire ilipigiwa simu,ikaja baada ya saa moja kutoka korogwe.Mimi ninashauri Fire extinguishers za mabasi ziwe za kilogram 20 and above.
 
Back
Top Bottom