Barua ya wazi kwa mh. Zitto kabwe

ndio maana kaamua kuanzisha chama chake chenye nembo ya nyota.Unajua nyota inawakilisha dini gan? alisahau kuweka na mwezi kabisa
 
Zito haisumbui Chadema hata kidogo wala Chadema hawana muda wa kusumbuka na Kabwe wako wapi akina Kaborou????
 
ndio maana kaamua kuanzisha chama chake chenye nembo ya nyota.Unajua nyota inawakilisha dini gan? alisahau kuweka na mwezi kabisa

ina maana unataka kusema Yahaya alirithisha mikoba mkuu.
 
Chadema mbona mnaweweseka sana na ACT kulikoni ?
Sasa hivi adui yenu si CCM tena bali ni ACT.
 
ww ndo hujui chochote bora huendelee kuchunga mbuzi tuu unataka kucheza muziki ambayo huwezi kucheza utaabika bure kama ccm wanakutumia kama kondomu muda wao kuendelea kuwepo madarakani umeshafikia kikomo kula za mwisho ushauri wa bure huu

Sijui umeishia darasa la ngapi,yani hata kuandika2 isue!
 
chadema kwa nini hamonyeshi ukomavu kisiasa kila anapotajwa zitto? hivi hamuoni kama zitto kawazidi kwa busara kwa kuwakalia kimya? mlimvua vyeo nyie wenyewe, na mnadai mlishamfukuza uanachama. sasa mbona mnachachawa kila mkisia jina lake? kwa tabia yenu utadhan yeye ndiye aliyewafukuza chadema. hivi mnajiuliza mwaka kesho majimbo mangapi mtayatetea, achilia mbali kupata majimbo mapya? achanane na matusi yenu yakipum.bavu kila siku yanaharibu kabisa taswira ya chadema.
 
Barua hii ingeelekea Magogoni kuwauliza kwa nini nchi yetu ni maskini wa kutupwa ningefurahi sana, lakini kuwauliza hawa misukule wenye kuganga njaa wala haisaidii chochote

Kweli kabisa mkuu.
 
mleta mada una moyo sana,huyu mamuluki wa ccm alishakwisha habari yake! Dhambi ya usaliti inamtafuna kabaki kujificha MMU, facebook na twitter!

mmu anatumia ID gani mkuu maana hata kule facebook ni udaku tu wa kuweka link za blog sikuhizi aandiki kabisa
 
chadema kwa nini hamonyeshi ukomavu kisiasa kila anapotajwa zitto? hivi hamuoni kama zitto kawazidi kwa busara kwa kuwakalia kimya? mlimvua vyeo nyie wenyewe, na mnadai mlishamfukuza uanachama. sasa mbona mnachachawa kila mkisia jina lake? kwa tabia yenu utadhan yeye ndiye aliyewafukuza chadema. hivi mnajiuliza mwaka kesho majimbo mangapi mtayatetea, achilia mbali kupata majimbo mapya? achanane na matusi yenu yakipum.bavu kila siku yanaharibu kabisa taswira ya chadema.

jamaa yako is not silence as you think ukienda facebook utakutana na mipasho
 
Hivi nyie wehu msipomtaja Zitto mtakufa? kama kawasaliti simuachane naye na usaliti wake mpaka mumtukane? kawafanyaje mpaka muda wote mnamtukana? kama ni msaliti simmeshamfaham kwamba ni msalit na simmesha muweka kando ndan ya CDM? Mnawasiwasi gani naye? mbona nyie akili ndogo mnakaa mnajadili? je kukaa kwake kimya kunawachanganya nini nyie kanga moko? au alikuaga anawapulia kisogoni siku hizi kaacha? kuna nini mbona Zitto anawanyima usingizi? kama ni msaliti yeye ndo kawa wakwanza? je kukaa muda wote na kumtukana Zitto ndo siasa za kweli kwenu nyie wavuta bange na viroba? hamchoki kumtukana Zitto nyie mashetani? kama siasa imewashinda, kwanini msiwaache hawa MAGAMBA waendelee kutawala? Kati ya watu wote mnaowaita wasalita kwanini Zitto anaonekana kuwaumiza vichwa zaidi? kwanini kila anayepinga mawazo ya CDM au Mbowe na Slaa au mnamuita msaliti? ACHANENI NA ZITTO BWANA! IJENGENI CHADEMA NA NCHI KWA UJUMLA. Kichwa kimoja kinawapa presure!!!!!! mmekwisha!!!!!

Povu kubwa la kifafa
 
Mheshimiwa Zitto,
Namshukuru Mola kwa kunipa nafasi na wazo hili la kukuandikia barua hii ya wazi.

Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi ni miongoni mwa Watanzania ambaye nilikuwa ninavutiwa sana na misimamo yako ya kizalendo ndani na nje ya Bunge. Ulivunja rekodi pale ambapo ulitolewa Bungeni kwa sababu ya msimamo wako thabiti katika kutetea maslahi ya umma.

Ni muda mrefu sasa kumekuwa na tuhuma nyingi toka ndani na nje ya chama chako (CDM) ya kwamba wewe pamoja na watu wako wengine wa karibu mmekuwa mkikiasi chama na kufanya mambo ya kudhoofisha harakati za upinzani nchini Tanzania. Mheshimiwa, vilevile kumekuwa na tetesi nyingi ya kwamba chama cha ACT ambacho kinasimamiwa na Ndg. Mwigamba kama Katibu Mkuu ni moja ya mikakati yako ya kupambana na CDM.

Mheshimiwa, natamani kupata kauli yako kuhusu msimamo wako na ukweli wa moyo wako kuhusu chama cha ACT. Naamini ni Watanzania wengi pia wenaopenda kusikia msimamo wako wa kisiasa.

Asante kwa kutumia muda wako kusoma waraka huu mfupi, na ninaamini kwamba utachukua hatua ya kuweka wazi msimamo wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Yaani wwe ngedere zzk asumbuke akujibu kabisa huna akili naona 1 imeruka
Huyo baba yako mbowe mwenyewe hana hazi ya kumuwekweya zt masharti
Halafu ww ngedere unalazimisha
Subiri nikuletee chakula cha ngedere
 
Matusi yote ya nini Dada daruwesh97? Kama una hoja si ujibu kwa hoja!! Pole kama barua hii imekuumiza.
 
Mheshimiwa, vilevile kumekuwa na tetesi nyingi ya kwamba chama cha ACT ambacho kinasimamiwa na Ndg. Mwigamba kama Katibu Mkuu ni moja ya mikakati yako ya kupambana na CDM.

Mheshimiwa, natamani kupata kauli yako kuhusu msimamo wako na ukweli wa moyo wako kuhusu chama cha ACT. Naamini ni Watanzania wengi pia wenaopenda kusikia msimamo wako wa kisiasa.

Asante kwa kutumia muda wako kusoma waraka huu mfupi, na ninaamini kwamba utachukua hatua ya kuweka wazi msimamo wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Kinachonichanganyau wapambe wa ccm ndio haohao wapambe wa ACT,kiasi nashindwa kutofautisha Wapi ccm Wapi ACT.

Chama cha waha tupu. Kabla hata ya uchaguzi washasema m.kiti anatoka kigoma na ni muha. Je hapo kuna chama au ni saccos ya waha a.k.a actaha. Waliyojifanya wanayakimbia ndo wanayatenda kuliko huko walikotoka. Ptuuuuuuuuuuu, tz kila upuuz unawazekana. Mimi katika maisha yangu huwa simwamini mhaha ni vijeujeu na wasaliti wabinafsi wapenda sifa mno.
Umeniwahi mkuu... Hili ndilo swali nililotaka kuuliza na mimi.

Bado nafanya utafiti sijapata jibu kwamba ni kwanini wanaCCM walio wengi wanaipenda na kuishangilia sana ACT hasa wafuasi wa CCM mitandaoni!!!!!

Talk of chama cha ukanda.....hiki ndo chama cha ukanda haswa.

Chama kipo Kigoma tu baaaasiiii.

ACT ni nyumba ndogo ya CCM!
 
Yaani wwe ngedere zzk asumbuke akujibu kabisa huna akili naona 1 imeruka
Huyo baba yako mbowe mwenyewe hana hazi ya kumuwekweya zt masharti
Halafu ww ngedere unalazimisha
Subiri nikuletee chakula cha ngedere

chama cha ukanda.....hiki ndo chama cha ukanda haswa.

Chama kipo Kigoma tu baaaasiiii.

ACT ni nyumba ndogo ya CCM!
 
chadema kwa nini hamonyeshi ukomavu kisiasa kila anapotajwa zitto? hivi hamuoni kama zitto kawazidi kwa busara kwa kuwakalia kimya? mlimvua vyeo nyie wenyewe, na mnadai mlishamfukuza uanachama. sasa mbona mnachachawa kila mkisia jina lake? kwa tabia yenu utadhan yeye ndiye aliyewafukuza chadema. hivi mnajiuliza mwaka kesho majimbo mangapi mtayatetea, achilia mbali kupata majimbo mapya? achanane na matusi yenu yakipum.bavu kila siku yanaharibu kabisa taswira ya chadema.
Wewe ni msukule wa Zitto!
 
Siasa za Tanzania ni za kijinga sana aisee
Ukifuatilia sana na wewe unaonekana msukule
 
Back
Top Bottom