Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.
Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.