Barua ya Kumfukuza Juliana Shonza na aibu kwa BAVICHA

Kha,chadema mkiambiwa ukweli hasa unaowauma mnakuwa wakali sana,kulikoni? Jibun hoja ila kwakweli BAVICHA mechemka na mmetia aibu!
a

Wewe nawe ni kama Bebdera fuata Upepo,nina uhakika hakuna unacho jua, Ila kwa sababu Bwaba zako wanaongea hivyo na wewe unaigilizia tu, Onyesha masahihisho ya walicho chemka na si kupiga Domo
 
its better to have hiv positive in your blood more than to have chadema ideas in your brain ,mnatupandisha gari la ukabila kwanini mmefukuza juliana kwa kosa la kutuoa tuhuma nzito ..............................
 
What else can you do apart from this?
Mjuvi mwenye ujuzi wa kutafsiri maneno na kutupilia mbali maana ya kimantiki.

Maana ya kimantiki ipi?

Kama wamechapia Kiswahili, ni wamechapia tu; kwa kukosa umakini, kwa uzembe, kwa kujitia ujuvi kwa mambo waso ujuzi.

Mtatetea hapa, ikisha wakaandike mikataba na kutumia maneno ovyo ovyo mtarajie mwekezaji atatumia mantiki
 
Sawa imekosewa, Shoza hajafukuzwa.
Happy now?
 
Nilishaga sema BAVICHA ni mbulula mimi niliona siku nyingi sana na ndio maana nilipokuwa nawakosoa walikuwa wakali sana. tatizo wakiambiwa ukweli wanakuandama mpaka basi. Haya mtafika.
Wewe nadi sera za chama chako achana na chadema...
 
Mimi sio mwanasiasa na wala sipendi siasa, na dawa ya tatizo sio kuropoka na kujilinda ni kuuangalia ukweli na kujibu hoja,kama wewe una akili timamu na unatetea huo uozo basi sote tuendelee kuamini kuwa hiyo ndiyo BAVICHA

Binafsi namuamini sana Heche ila utata kwenye jina lake unaweza nifanya nibadili msimamo wangu hata kwa chama kwa ujumla kwani inasadikiwa aua imesemwa sana hata nafasi aliyonayo alibebwa sina hakika ,ila chama chenye mategemeo ya watanzania wengi kwa sasa ni CHADEMA na hili halina ubishi lakini CHADEMA imara bila vijana makini ni hatari kwa mustabali sio wa CHADEMA tuu bali hata wa Taifa kwa ujumla.

Ni mawazo yangu tuu sio lazima ujibu
Hakika mmebanwa kila kona na hamna pa kupumulia kama unataka ufafanuzi wa jina huu hapa, lete ngonjera nyingine.
[h=3]Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta[/h]
 
Naomba watu wa CHADEMA hasa BAVICHA, muufuatilie ushauri wa MINJA ingawa ameuleta Kimipasho sana na kuanza kuingiza Topic ambazo hata hazipo.
Kama hilo neno linaleta maana TATA, basi andikeni barua nyingine na kumkabidhi ili akienda mahakamani asije akashinda na ikaonekana yeye bado ni Mwanachama wa Chadema na atawapa usumbufu zaidi.

Obama miaka minne iliyopita wakata anaapa kuwa Rais wa USA, Jaji anayemwapisha alikosea neno ila Obama akalitamka sawa. Kwa kujua akina Donald Trump na Kimada wake Sarah Pallin wanaweza kulikomalia hilo swala, wakaamua kurudia tena kuapishwa ndani ya WHITE HOUSE na wakarekodi kabisa tukio mbele ya mashahidi kadhaa na kuhakikisha maneno yote, Obama na Jaji wanatamka sawa. Na ili nkuwavunja Moyo, Waandishi wa habari wakarusha kuapishwa huko kwa mara ya pili kwenye TV na magazetini.

Kama kuna utata kama huu, basi REKEBISHENI na mumpe barua nyingine ili isiwe usumbufu kwenu na wafuasi wa Chadema kwa ujumla maana huu ukurasa inabidi UFUNGWE.
 
Mimi sio mwanasiasa na wala sipendi siasa, na dawa ya tatizo sio kuropoka na kujilinda ni kuuangalia ukweli na kujibu hoja,kama wewe una akili timamu na unatetea huo uozo basi sote tuendelee kuamini kuwa hiyo ndiyo BAVICHA

Binafsi namuamini sana Heche ila utata kwenye jina lake unaweza nifanya nibadili msimamo wangu hata kwa chama kwa ujumla kwani inasadikiwa aua imesemwa sana hata nafasi aliyonayo alibebwa sina hakika ,ila chama chenye mategemeo ya watanzania wengi kwa sasa ni CHADEMA na hili halina ubishi lakini CHADEMA imara bila vijana makini ni hatari kwa mustabali sio wa CHADEMA tuu bali hata wa Taifa kwa ujumla.

Ni mawazo yangu tuu sio lazima ujibu

Acha ukanjanja wewe si mwanasiasa uko kwenye forum ya siasa nenda kule kwingine basi why here na unaendelea kujibu? Wamesha ondolewa full stop uliza yote mwisho wameondolewa kama umetumwa kawaambie jamaa na wapenzi wao hawataki .
 
Naomba watu wa CHADEMA hasa BAVICHA, muufuatilie ushauri wa MINJA ingawa ameuleta Kimipasho sana na kuanza kuingiza Topic ambazo hata hazipo.
Kama hilo neno linaleta maana TATA, basi andikeni barua nyingine na kumkabidhi ili akienda mahakamani asije akashinda na ikaonekana yeye bado ni Mwanachama wa Chadema na atawapa usumbufu zaidi.

Obama miaka minne iliyopita wakata anaapa kuwa Rais wa USA, Jaji anayemwapisha alikosea neno ila Obama akalitamka sawa. Kwa kujua akina Donald Trump na Kimada wake Sarah Pallin wanaweza kulikomalia hilo swala, wakaamua kurudia tena kuapishwa ndani ya WHITE HOUSE na wakarekodi kabisa tukio mbele ya mashahidi kadhaa na kuhakikisha maneno yote, Obama na Jaji wanatamka sawa. Na ili nkuwavunja Moyo, Waandishi wa habari wakarusha kuapishwa huko kwa mara ya pili kwenye TV na magazetini.

Kama kuna utata kama huu, basi REKEBISHENI na mumpe barua nyingine ili isiwe usumbufu kwenu na wafuasi wa Chadema kwa ujumla maana huu ukurasa inabidi UFUNGWE.
Mkuu inaonekana wewe hujamsoma vizuri huyu Juliana, mwenzio hatambui uwepo wa Bavicha sasa atakwenda Mahakamani kushtaki nini? This Woman is dead & buried in Tanzania politics.
 
its better to have hiv positive in your blood more than to have chadema ideas in your brain ,mnatupandisha gari la ukabila kwanini mmefukuza juliana kwa kosa la kutuoa tuhuma nzito ..............................

AH AH, CD PIA SINGLE YA UKABILA ILICHUJA KITAMBO IVO UNAJICHORESHA TU WE DADA KUWA KWA SASA UKO OUTDATED, KATIBA YA CHADEMA IKO WAZI KUWA ISSUEs ZA CHAMA ZIJADILIWE KTK VIKAO VYA CHAMA YE KAPELEKA MAGAZETINI, UYU ATA TARATIBU ZA NDOA AZIWEZI NA NDO KESHAFUKUZWA CHADEMA HAIMTAKI AENDE LUMUMBA WATAMPA JAPO ATA KAZ ZA KUFAGIA KOLIDO ZA MAGAMBA
 
Nadhani neno la kiingereza ni "resolution" - kitendo ni "resolved to.." ni sawa na na kusema "..amua...". Stand to be corrected.

Asante mkuu kwa ufafanuzi huu. Sasa huyu mleta mada mbona anataka kupotosha umma? Kama wameazimia, maana yake wamefikia uamuzi, sasa hapo tatizo liko wapi?

Tiba
 
Masalia mtafungua hata IDs 1000000000000 lakini mnatakiwa mjue kwamba umma wa wanamageuzi hauwataki wasaliti nyie mnaongozwa kwa uongozi wa pepo mchafu tena yule pepo mkuu wa anga kwani akili zenu sio zenu tena na mliziacha kwa mganga since tha day mmekula viapo vya kishaetani kwa yule mganga.
 
Back
Top Bottom