CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,922
aKha,chadema mkiambiwa ukweli hasa unaowauma mnakuwa wakali sana,kulikoni? Jibun hoja ila kwakweli BAVICHA mechemka na mmetia aibu!
Wewe nawe ni kama Bebdera fuata Upepo,nina uhakika hakuna unacho jua, Ila kwa sababu Bwaba zako wanaongea hivyo na wewe unaigilizia tu, Onyesha masahihisho ya walicho chemka na si kupiga Domo