Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
Karibu!!!Mkuu usiwe na shaka na mimi uwe huru kunisahihisha au kunipa changamoto kwenye thread yoyote utakaponikuta.
Matokeo ya game ya Getafe vs R.Madrid yalinikaa kichwani zaidi b'se mchakamchaka ulikuwa mzito kidogo ndio maana nikajikuta nimeandika hapo juu.
Pamoja sana.