Barcelona Vs Real Madrid-Another Season of Mighty Clasicos.

Naona Song anaendeleza nuksi

Hana bahati yaani pamoja na kuyatokea makombe denge la haja hapo Barce-trophies kalikosa!!!!
Ila mambo bado lazima avae medali Barca wana hasira sana.
 
poleni wapenzi wa barca

oh yes..this is very good words at this moment...Thank youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.by the way Iniesta kaongezeka katika List ya kumkata maini Ronaldo,sasa ana mtu mwingine wa kumuota kila akilala, na wa kumpania kila mechi.By the way Messi si wa ulaya full ingawa walimweka.So anya success in Angentina inaweza mpa ugonjwa wa moyo Ronaldo.
 
poleni wapenzi wa barca

oh yes..this are very good words at this moment...Thank youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.by the way Iniesta kaongezeka katika List ya kumkata maini Ronaldo,sasa ana mtu mwingine wa kumuota kila akilala, na wa kumpania kila mechi.By the way Messi si wa ulaya full ingawa walimweka.So anya success in Angentina inaweza mpa ugonjwa wa moyo Ronaldo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom