Barcelona Vs Real Madrid-Another Season of Mighty Clasicos.

Mkuu usiwe na shaka na mimi uwe huru kunisahihisha au kunipa changamoto kwenye thread yoyote utakaponikuta.
Matokeo ya game ya Getafe vs R.Madrid yalinikaa kichwani zaidi b'se mchakamchaka ulikuwa mzito kidogo ndio maana nikajikuta nimeandika hapo juu.
Pamoja sana.
Karibu!!!
 
Umakini ni muhimu haswa katka mechi za namna hii,ukipoteza kidogo umelala doro...
 
victor valdes sio kipa mzuri n pia defense ya barca kwa leo i nyepesi mnooo, sema tuu huwa kinawasaidia ni kuanzia kati kwenda mbele...
Poor quality of defense so far by barca
 
Hakuna haja ya kunipa tiketi ya chitchat waelewa wameliona kosa wakanisahihisha,wewe naona unabania kuandika hapa sijui unaogopa wino utaisha kwenye keyboard au keypad!!

Naona imeku pain kweli. Unajibu mara mbili mbili. To forget is a crime
 
wakuu mnaotizama game mnafurahishana wenyewe kwa wenyewe kwani sioni anayetupatia matokeo ya game so far, hebu acheni uchoyo mmwage mavitu hapa tusiopata fursa ya kutizama tuelewe nini kinaendelea
 
wakuu mnaotizama game mnafurahishana wenyewe kwa wenyewe kwani sioni anayetupatia matokeo ya game so far, hebu acheni uchoyo mmwage mavitu hapa tusiopata fursa ya kutizama tuelewe nini kinaendelea

acha hizo mwanangu, ina maana huoni updates zangu, au lugha gongana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom