Barcelona Vs Real Madrid-Another Season of Mighty Clasicos.

:biggrin1: tuliza boli babu usijaribu kugombana na keyboard.. We unataka kusema valencia vs espanyol na chelsea vs man city mechi ipi itaangaliwa zaidi? Unajua kwanini timu za spain muda wa kuonyeshwa ni tofauti ni kua wakisema wacheze mda sawa uk na spain, ujue spain hawatapata viewings.. Man utd vs liverpool iwe inaonyeshwa mda sawa na atletico vs real madrid uone ka mpira wa madrid watu wataangalia.. Acha ubishi wa kipuuzi google viewing figures kati ya english
and spanish teams uje uziweke hapa

Ni kweli kwamba viewers ratings za La Liga ziko chini ukilinganisha na za EPL kwa sababu mpira wa EPL teams ni wa kasi na ushindani zaidi kwa hiyo kama sio El Clasico hakuna big match ya La Liga inayoweza kuishinda big match ya EPL kwa viewers ratings endapo zitaonyeshwa kwa wakati mmoja au hata wakati tofauti.
Kuna wakati ukiangalia match ya EPL halafu baadae ukamalizia na match kama ya Barcelona Vs Real Sociedad au Real Madrid vs Mallorca ni kama unaangalia slow motion ya match iliyotangulia ya EPL match inakuwa kama mazoezi wako taratiiiiibu!!!
 
nilikosea timing.Ila nilibahatika amka na kuitazama ingawa nikiahirish akzi zangu ila nimeridhika sana.Bado madrid watu wanaipogeza kwa kichapo,inelekea imehalalishiwa kuwa kilaza.Pamoja na kuwa na magoli ya ugenini ila wanapata sana shida ya kisaikologia wakiongozwa na Christinao Ronaldo anaweweseka mbele ya messi.

Leo usikosee timing mkuu hii kitu ni burudani ya aina yake.
 
spanish football is attractive lakini timu ziko mbili tu...mpaka barca wacheze na madrid ndio kila mtu anakua excited sio kama england...english football is not as attractive as the spanish one lakini ndio zinaangaliwa zaidi fikiria hapo man u vs man city, man u vs arsenal arsenal vs chelsea chelsea vs livepool spurs vs arsenal everton vs liverpool huwezi kuona hiyo kwenye ligi nyingine yoyote europe

ila tambua kwamba ! Mechi zote za clubs za kwenye hii dunia, ni mechi kati ya real madrid na fc barcelona ndio huwa zinaangaliwa na idadi kubwa ya watu kuliko mechi yoyote ile duniani kwa sasa.
 
ila tambua kwamba ! Mechi zote za clubs za kwenye hii dunia, ni mechi kati ya real madrid na fc barcelona ndio huwa zinaangaliwa na idadi kubwa ya watu kuliko mechi yoyote ile duniani kwa sasa.

That mayb tru bt for me mechi zionyeshwe same time kati ya man utd vs liverpool au barca vs madrid i would always watch the former
 
That mayb tru bt for me mechi zionyeshwe same time kati ya man utd vs liverpool au barca vs madrid i would always watch the former

SIMPLY BECOUSE YOU DONT'T KNOW WHAT IS FOOTBALL. mtoto wa mjini ivi ni kweli kwa sasa ipingwe mechi izo na wewe uangalie the former one? kwa kigezo kipi? mana ukiangalia standard ya mechi kati ya timu hizo ni dhahiri mechi kati ya fcb na rmd ndo the best na inakila sababu ya kuiangalia kwa sasa kama kweli wewe ni mtu wa mpira.
 
Premier league tunaipenda sababu ya kujitangaza na kelele za muingereza through skysports, bbc etc, we huon mchezaj wa kingereza akiwa na kakiwango kadogo kunavyokuwa na noise dunia nzima kujisifia but ukweli uingereza ni league ya kawaida sababu hakuna achievements kwa uingereza, mid 2000s italy walijitangaza wao ndo league bora na wakati huo ac milan ndo ilikuwa inatawala champions league as they win 2003, 2007, final 2005 and kuonyesha kwamba ni ukweli their national team italy win the world cup 2006 with playersa wanaocheza ligi ya italy wote,,, na sasa spain wakaja kujibu kuwa nao wanaligi nzuri miaka ya karibuni as barcelona and madrid zinatawala uefa, as barca win 2009 and 2011 na hapo hapo spain natianal team win the world cup 2010 with players wanaocheza ligi ya ndani,,

Wachambuzi wanasema ligi ya uingereza ni overated na kama wanataka kuprove to the world kwamba ligi yao ndio bora kwa kipindi hiki wanatakiwa nao wa win the world cup with players wao wa ndani huku club zao zikitawala ulaya kitu ambacho hakipo...
 
SIMPLY BECOUSE YOU DONT'T KNOW WHAT IS FOOTBALL. mtoto wa mjini ivi ni kweli kwa sasa ipingwe mechi izo na wewe uangalie the former one? kwa kigezo kipi? mana ukiangalia standard ya mechi kati ya timu hizo ni dhahiri mechi kati ya fcb na rmd ndo the best na inakila sababu ya kuiangalia kwa sasa kama kweli wewe ni mtu wa mpira.

I love the games btn barca vs madrid i really do bt if man u is playin at the same time as everyone else i would still watch man u games... Call me old fashioned or out of touch with football bt for me manchester united will always come first.. Always
 
nimekuelewa, yani uko kiushabiki na ki mapenzi zaidi na man u kwa hili! sio mbaya aisee, mana hata mimi ikicheza barca b vs yanga, na man u vs man city! niataangalia ya barca b na yanga! hahaha! mutoto ya mujini kweli wewe ni man u damu mdau
 
Leo tena miamba ya Spain inaumana katika michuano ya Super Cup hii baada ya Real madrid kuzidiwa kete mechi awali kwa kufungwa mabao 2 kwa 1...Je,ataweza kutunisha misuli na kuwabwaga Barcelona pale Santiago Bernabeu?
Usikose kuangalia uhondo huu leo 2330hrs EAT..

2 kwa 1? Hii siyo hobby yako. Nenda chitchat
 
Wewe unatania bila shaka.
 
2 kwa 1? Ya lini hiyo mkuu,, me nakumbuka alhamis ilopita ilikuwa 3 kwa 2 kama sikosei!!!!!
 
nimekuelewa, yani uko kiushabiki na ki mapenzi zaidi na man u kwa hili! sio mbaya aisee, mana hata mimi ikicheza barca b vs yanga, na man u vs man city! niataangalia ya barca b na yanga! hahaha! mutoto ya mujini kweli wewe ni man u damu mdau

:biggrin1: eti barca b vs yanga yaani yanga ushaiona ni team ya kichovu kiasi kwamba haiwezi kucheza na barca first team? Sasa kama ni hivo itabidi barcaC/youth team ndio icheze na simba
 
2 kwa 1? Hii siyo hobby yako. Nenda chitchat

Hakuna haja ya kunipa tiketi ya chitchat waelewa wameliona kosa wakanisahihisha,wewe naona unabania kuandika hapa sijui unaogopa wino utaisha kwenye keyboard au keypad!!
 
Bila shida mkuu, asante kwa uungwana wako manake angekuwa mwingine leo ningeporomoshewa matusi mpaka basi.

Mkuu usiwe na shaka na mimi uwe huru kunisahihisha au kunipa changamoto kwenye thread yoyote utakaponikuta.
Matokeo ya game ya Getafe vs R.Madrid yalinikaa kichwani zaidi b'se mchakamchaka ulikuwa mzito kidogo ndio maana nikajikuta nimeandika hapo juu.
Pamoja sana.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom