afande samwel
Senior Member
- Mar 13, 2010
- 139
- 0
.Hamna haja ya kushangilia Baraza hili maana ni KUBWA SANA,ukiongeza na Makatibu wakuu,NA WATEULE WENGINE basi tutegemee zaidi ya nusu ya makusanyo ya kodi kuhudumia wateule!
BARAZA LILILOTEULIWA HALIENDANI NA HALI HALISI YA UCHUMI WETU,NI KUBWA SANA!!
Kizuri zaidi ni Harrison Mwakyembe kupewa unaibu waziri.Sasa sijui atatwambia nini tena kuhusu ukwamishaji wa maendeleo wilayani kyela.Baado tatizo litakuwa ni mkuu wa mkoa wa mbeya?