TONGONI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 1,041
- 373
Muda mrefu nimekuwa nikikutana na hili,linapokuja swala la barabara au bustani utakuta mtu mwenye taaluma ya uandishi habari kaandika.
Ajali imetokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi Road,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja garden,nionavyo mimi ni lugha mbili zinazungumzia kitu kimoja..kwa nini isiwe,mfano maandamano yataanzia barabara ya kilwa,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja.