Barabara ya Ali Hassan Mwinyi road

TONGONI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
1,041
373
Muda mrefu nimekuwa nikikutana na hili,linapokuja swala la barabara au bustani utakuta mtu mwenye taaluma ya uandishi habari kaandika.
Ajali imetokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi Road,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja garden,nionavyo mimi ni lugha mbili zinazungumzia kitu kimoja..kwa nini isiwe,mfano maandamano yataanzia barabara ya kilwa,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja.
 
Peleka radio one ama bakita kaka
 
Muda mrefu nimekuwa nikikutana na hili,linapokuja swala la barabara au bustani utakuta mtu mwenye taaluma ya uandishi habari kaandika.Ajali imetokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi Road,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja garden,nionavyo mimi ni lugha mbili zinazungumzia kitu kimoja..kwa nini isiwe,mfano maandamano yataanzia barabara ya kilwa,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja.
Tusipo ongeza maneno ya Kiingereza tunaoneka waongo.
 
sasa kwa mwendo kama wako tumefika wapi? wewe kama ni mama lazima utakuwa mnoko sana
Mkuu lengo ni kubadilishana mawazo hatushindani kusema wala kukashifiana,asante sana.
 
Sababu ya watu wengi kuchanganya hivyo ni kwa sababu vibao vya barabarani vilikuwa au vimeandikwa kwa kiingereza i.e. Ali Hassn Mwinyi Rd, Kilwa Rd, Pugu Rd, Morogoro Rd n.k, hali hii ndio ikapelekea wananchi kudhania kuwa hizi barabara zinaitwa Ali Hassan Mwinyi Rd au Pugu Rd kama jina moja, na wao ni wazungumzao Kiswahili, sasa wakati wa kutamka wanatamka kama kwamba jina ni moja yaani Barabara ya Pugu Rd au Morogoro Rd n.k

Vibao vya mitaa vinapaswa kuandikwa kwa Kiswahili. Na si kama hivi hapa chini.

Sikuku.+Jamani+huu+mtaa+unaitwa+SIKUKUU+si+SIKUKU+kama+lilivyo+bongo+hili+kariakoo+karibu+na+makutano+ya+mtaa+wa+Uhuru+na+Congo..JPG
 
Muda mrefu nimekuwa nikikutana na hili,linapokuja swala la barabara au bustani utakuta mtu mwenye taaluma ya uandishi habari kaandika.
Ajali imetokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi Road,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja garden,nionavyo mimi ni lugha mbili zinazungumzia kitu kimoja..kwa nini isiwe,mfano maandamano yataanzia barabara ya kilwa,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja.

Mkuu ubarikiwe sana kwa kuweka mambo sawa. Waandishi wa habari ndio wanatuboa vya kutosha. Kuna mwandishi mmoja kule Bukoba , kwa walioenda shule thabiti huwa anasema hivi: 'Mkurugenzi wa Manispaa ya Mji wa Bukoba amewataka wananchi ...". Mimi naamini kabisa haya ni makosa makubwa ndani ya lugha ya Kiswahili. Huyo mwandishi atumie maneno haya: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba amewataka wananchi ...'.
 
Back
Top Bottom