Daraja la Tanzanite au Kigongo Busisi liitwe Daraja la Ali Hassan Mwinyi

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,264
Marais karibia wote waliopita majina yao yamepewa miondombinu mikubwa na vitu vingine muhimu katika nchi kasoro Rais Ali Hassan Mwinyi tu ndio amesahaulika. Huwa nasikia uwanja mmoja tu wa mpira ukiitwa kwa jina la mwinyi lakini hata sijui uko wapi huo uwanja.

Sasa ni vyema Daraja la Kigongo Busisi, Mwanza au la Tanzanite Dar mmojawapo likapewa jina la Ali Hassan Mwinyi, Pia hospital mmojawapo kubwa ya Rufaa kama ile ya Chato ipewe jina la Ali Hassan Mwinyi.
 
Screenshot_2024-03-11-20-44-53-1.png
 
Mwinyi alijenga daraja la Mkapa, alichelewa kujipa iina lake.
 
Barabara anapewa mtu yeyote, hata wewe ukiwa maarufu mtaani kwako barabara yenu inaweza kupewa jina lako.

lkn logic ya kupea jina mara nyingi mpewaji anakuwa amehusika kwa namna moja au nyingine kwenye uwezeshaji wa hilo daraja, sasa huwezi kuliita daraja la tanzanite au busisi ambayo raisi mwinyi hana mchango wowote jina lake haileti maana …
 
Ukumbi wa Julius Nyerere haujajengwa na Nyerere, Daraja la juu la Kijazi halijajengwa na Kijazi,
 
Ukumbi wa Julius Nyerere haujajengwa na Nyerere, Daraja la juu la Kijazi halijajengwa na Kijazi.

linaitwa daraja la injinia Kizaji nafikiri na kama Mfugale pia wote wana mchango kwenye hizo projects na ndiyo ilikuwa logic ya Magufuli kutoa mori kwa wengine mainjinia kujituma ili majina yao yabakie milele kama Kijazi au Mfugale, Nyerere ofcourse ni special case ni raisi kwanza wa nchi ana special privileges hata ofisi za umma zina picha mbili moja ya Nyerere na nyingine ya raisi aliyepo, picha ya Nyerere haibadiliki ila hao raisi wengine inabadilika, raisi samia akiondoka 2025 picha zake watatoa pia lkn ya Nyerere itabakia …
 
Marais karibia wote waliopita majina yao yamepewa miondombinu mikubwa na vitu vingine muhimu katika nchi kasoro Rais Ali Hassan Mwinyi tu ndio amesahaulika. Huwa nasikia uwanja mmoja tu wa mpira ukiitwa kwa jina la mwinyi lakini hata sijui uko wapi huo uwanja.

Sasa ni vyema Daraja la Kigongo Busisi, Mwanza au la Tanzanite Dar mmojawapo likapewa jina la Ali Hassan Mwinyi, Pia hospital mmojawapo kubwa ya Rufaa kama ile ya Chato ipewe jina la Ali Hassan Mwinyi.
wazo zuri, pendekezo mujarabo🐒
 
linaitwa daraja la injinia Kizaji nafikiri na kama Mfugale pia wote wana mchango kwenye hizo projects na ndiyo ilikuwa logic ya Magufuli kutoa mori kwa wengine mainjinia kujituma ili majina yao yabakie milele kama Kijazi au Mfugale, Nyerere ofcourse ni special case ni raisi kwanza wa nchi ana special privileges hata ofisi za umma zina picha mbili moja ya Nyerere na nyingine ya raisi aliyepo, picha ya Nyerere haibadiliki ila hao raisi wengine inabadiliki, raisi samia akiondoka 2025 picha zake watatoa pia lkn ya Nyerere itabakia …
Basi hata Mwanza Airport iitwe Ali Hassan Mwinyi Airport.
 
Marais karibia wote waliopita majina yao yamepewa miondombinu mikubwa na vitu vingine muhimu katika nchi kasoro Rais Ali Hassan Mwinyi tu ndio amesahaulika. Huwa nasikia uwanja mmoja tu wa mpira ukiitwa kwa jina la mwinyi lakini hata sijui uko wapi huo uwanja.

Sasa ni vyema Daraja la Kigongo Busisi, Mwanza au la Tanzanite Dar mmojawapo likapewa jina la Ali Hassan Mwinyi, Pia hospital mmojawapo kubwa ya Rufaa kama ile ya Chato ipewe jina la Ali Hassan Mwinyi.
wanayapa kwasababu yamwtengenezwa kwene utawala wao…. ni nyerere tu ndo anapewa heshima hata kama mradi ukigunduliwa saiz.

kama alishindwa kufanya miradi enzi izo aipe majina bas tena
 
Back
Top Bottom