Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

Hivi hawa watoto wanasoma shule nzuri na maisha mazuri iweje wanajaza nafasi za balozi zetu nje?

inamaana hawawezi kusurvive kwenye private sector ambako hakuna patronage kama hizi balozi au vipi?

tazama list ya staff wa New York na DC ndio mtakoma!

kweli hawa watu wametubana

Ole wetu hiv kama taifa tunaweza nin maana mambo mengi ziii-siasa za wagagagigikoko ndo zetu hatuna habar na wajuzi-zaman tulikuwa na mkoloni mzungu sasa ni hawa wenye majina yetu
 
Hivi hawa watoto wanasoma shule nzuri na maisha mazuri iweje wanajaza nafasi za balozi zetu nje?

inamaana hawawezi kusurvive kwenye private sector ambako hakuna patronage kama hizi balozi au vipi?

tazama list ya staff wa New York na DC ndio mtakoma!

kweli hawa watu wametubana
harafu hawa baba zao; wajomba zao ndiyo wahubiri amani ya nchi; huu si ujinga mtupu
 
Ni ukweli usiopingika!!!
Wanasoma mazingira mazuri na katika shule nzuri.
Wameandaliwa kisaikolojia na wameweka malengo ambayo wanasaidiwa kuyafanikisha.
Swali kubwa ni kuwa je hali hii itaendelea mpaka lini?
Tukubaliane kuwa ndio hali halisi na tukubali nafasi zetu katika jamii hadi hapo mapinduzi yatakapotekea!!!
We acha kuongea ka taahira, inawezekana we ni kilaza, unaweza eleza hizo nafas ziltangazwa lini watanzania wengine wenye sifa wakakosekana? unajua kuna watz japan, us, botswana, kenya nk... wanafanya kama ma expertriates na walisoma kwenye mazingira haya haya unayoyaona duni?? unaelewa kuna watz wangap wenye sifa lakni wanaambiwa wajiajiri ajira hakuna, alaf watoto wao ndio hao wamejazana huko kama wako kwa mama mdogo? hiv hi haiwez kuwa hoja kwamba ndio wanachangia dar kuwa port ya madawa ya kulevya? jitambue ndugu yangu
 
Mwishoni ume conclude vizuri lakini mwanzoni umetumia lugha kali kidogo.Naamini ungeweza kuchangia tu bila kutumia maneno ya kuudhi,Samahani sana
 
Angalizo.
Kuleta uzi hapa bila kuwa na ushahidi wa maneno yako ni sawa na kuleta habari za uchochezi. Na ni kinyume na taratibu na kanuni za JF.
 
SIAMINI KUWA HATA SIKU MOJA STAFF WA KAWAIDA ANAWEZA KUALIKA MAWAZIRI WAWILI KUMUAGA ANAPOKWENDA KUFANYA KAZI KWENYE KITUO KIPYA

HIVYO HUYU MINDI NAYE NI MTOTO WA KIGOGO?

matukio-michuzi

55.jpg

1.jpg

labda mwenye kujua zaidi atujuze lakini huyu mindi mimi si mjui ni nani mpaka mawaziri wawili waende kumwaga?

Labda alisoma nao
 
Mleta mada hujafanya mbaya ila mbaya ni pale unaposuasua/kushindwa kutupia supportive documents au list.Mi bado nipo nasubiri uturahisishie kama alivyotupia huyu jamaa hapa kuhusu UN

lakini huo uzi siyo wa leo mkuu , je mleta uzi bado yupo ? Hajang'olewa meno ?
 
Back
Top Bottom