Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

Lukuvi ana marafiki na anayo haki ya kushiriki kwenye shughuli yao yeyote mradi haivunji sheria.....after all yeye sio mamlaka ya uteuzi hivyo hawajibiki ukimbia marafiki zake eti kwa kuwa wameteuliwa na wanaagana......mnadhani kujiuzuru ni kula ubuyu
 
They go to the best schools (both Tz and Abroad): hawaendi shule za kata
They get the best environment for studying (all the best facilities)
They get best guidance when searching for employment ( and this is not coincidence)
They end up in best jobs (MPs, BOT, ministries officials and Embassies Abroad)
This is the way the cookie crumbles...

If you do not take your children to best schools, hata nafasi hii ya kusema kwenye JF hawataipata
Ni ukweli usiopingika!!!
Wanasoma mazingira mazuri na katika shule nzuri.
Wameandaliwa kisaikolojia na wameweka malengo ambayo wanasaidiwa kuyafanikisha.
Swali kubwa ni kuwa je hali hii itaendelea mpaka lini?
Tukubaliane kuwa ndio hali halisi na tukubali nafasi zetu katika jamii hadi hapo mapinduzi yatakapotekea!!!
 
JF kwa wivu tuu hamjambo

sasa huyu binti kakukoseeni nini?
Ajira katika balozi zetu nje ya nchi zinafanywa na watanzania. Huyu Bi Kasiga ni mtanzania anayefanya kazi wizara ya mambo ya nchi za nje. Ni pale tu itakapothibitishwa kwamba amepewa kazi asiostahili ndipo kutakua na tatizo. Kuhudhuria kwa "waheshimiwa" kwenye hiyo shuguli kunaonyesha uhusiano binafsi alionao na hawa waheshimiwa na hiyo ni haki ambayo kila mmoja wetu anayo. Nitashukuru Kama "geat thinkers" humu watabainisha kasoro za mfumo wa uteuzi wa maafisa ubalozi katika wizara ya mambo ya nje. Asante kwa picha za sherehe nimezipenda..or sorry nimevutiwa na warembo waliohudhuria.
 
Acha uongo na fitina wewe, Missana amekuja Marekani December 2005 na muda wake unaisha December 2011 , Huo mwaka 2002 Missana alikuwa chuo kikuu cha Dar es salaam,

Muda Wake unaisha 2011, Leo ni 2013

2011 ni miaka 2 iliyopita.
 
Hivi hawa watoto wanasoma shule nzuri na maisha mazuri iweje wanajaza nafasi za balozi zetu nje?

inamaana hawawezi kusurvive kwenye private sector ambako hakuna patronage kama hizi balozi au vipi?

tazama list ya staff wa New York na DC ndio mtakoma!

kweli hawa watu wametubana

Iko wapi hiyo list??
 
Back
Top Bottom