Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

J4MAYOKA

Senior Member
Jul 16, 2011
147
84
Hivi hawa watoto wanasoma shule nzuri na maisha mazuri iweje wanajaza nafasi za balozi zetu nje?

inamaana hawawezi kusurvive kwenye private sector ambako hakuna patronage kama hizi balozi au vipi?

tazama list ya staff wa New York na DC ndio mtakoma!

kweli hawa watu wametubana
 
tupo list hiyo, mbona maneno matupu?
 
Hivi hawa watoto wanasoma shule nzuri na maisha mazuri iweje wanajaza nafasi za balozi zetu nje?

inamaana hawawezi kusurvive kwenye private sector ambako hakuna patronage kama hizi balozi au vipi?

tazama list ya staff wa New York na DC ndio mtakoma!

kweli hawa watu wametubana

Unless you come up with a list of all staff at the Tz high commission in DC, you are nothing more than a gossiper!
 
wachabana wale mema ya nchi tofauti mbona hata mbinguni zipo tu bana wewe baba yako aliambiwa ajiunge na TANU akaogopa wakoloni sawasawa na wewe unavyosikia mtu anaambiwa aende chadema anaogopa ccm shauri yako
 
Hivi haya mawazo ya kufikiria kuajiriwa na serikali yatatutoka lini? Hiyo serikali ni kubwa kiasi gani mpaka iajiri kila mtu? Just thinking the other way round!
 
Hivi hawa watoto wanasoma shule nzuri na maisha mazuri iweje wanajaza nafasi za balozi zetu nje?

inamaana hawawezi kusurvive kwenye private sector ambako hakuna patronage kama hizi balozi au vipi?

tazama list ya staff wa New York na DC ndio mtakoma!

kweli hawa watu wametubana
Tatizo huna reference,data,source,n.k.
 
Back
Top Bottom