Ballali aibuka na kujibu

Status
Not open for further replies.
JF:

This forum generates a number of leads, and bila shaka benefits zipo - be it indirectly.

Huko awali tulipiga debe sana juu ya project ya Radar Bwana JK akiwa Foreign Minister and Brother Ben akiwa Jemedari wetu. Bwa Mramba akiwa Hazina pale.

Tulitukanwa wengi na kuambiwa kuwa toka lini IMF ikawa International Ministry of Finance waamue tutumiaje pesa zetu (ingawa ni ujinga kusema hivi wakati bado we rely on their funds).

Rais wetu mpendwa akiwa Minister wakati huo alipiga debe kutetea Serikali yake na maamuzi yake. Sie tulio nje tulisema tuu kuwa, along the lines "kama tuko nje ya Serikali and this is what we see and we clearly see with all of our senses kuwa kuna walakini, basi Serikali lazima ina majibu mazuri sana au mpango mzri sana na sie hatuna data tuu, kwani huu kama uwizi, tusubiri tutasikia yatafunguka mapema tuu". Bahati mbaya we are getting to be proved right! Serious Fraud Investigation Unit in the UK imekuwa ikifuatilia swala la Radar. Kampuni moja imeshatajwa connected na radar na EPA scandal hapo BoT.

Haiitaji rocket science kugundua kuwa what has been going on BoT is coordinated and systematic - na ni Establishment work inafanyika.

Tusiwe na kumbukumbu fupi kujua what exactly is going on here. La maana tuwe karibu na kuwapa support watu kama akina Slaa wazidi kupiga productive kelele and actions ili game ya JK (kama kweli sasa kaamua aidha kuwageuka akina CCM apate clean legacy ya kuleta Mapinduzi - ambayo ndio chanzo cha kuwa na hicho chama toka awali - basi aweze kufanya na yeye aweze jitetea kwa wenzie ndani mle kuwa asingeweza kukaa kimya kwani kibano kilizidi).

La maana na huyo Billali na wengineo kweli waongee, wapewe fursa kamili.

Tujue kabisa kuna watu mtasikia wamepata ajali za magari au "natural" kwa wakati huu huu!. Hilo tujue lipo na linakuja - pamoja na ukweli kuwa huwa mwenye kuamua nani andoke lini naturally sio sisi hapa - ila tulitegemee hilo based on history yetu hapo Tanzania na uzoefu dunia nzima. That is how they play the game hawa politicians.

Kuna hatari afanywe kafara kweli kabisa , na hii inaendana na kutokujibiwa au hata kusemwa hadharani juu ya barua yake ya kujiuzulu. Katika yeye kuwa kafara, CCM will save face and the Executive will start campaigning kuwa we've done something ila hawa jamaa (akina Slaa) ni kelele tupu. Sasa hapo ndio KILAsupport will be needed to ensure no stone is left unturned.

I am tired na watu wenye kusema we need slow changes kwani establishment ni kubwa and will wreck the nation. Which option is wrecking more now?? Jiulize hizo pesa zingejenga mashule mangapi? University ngapi? Hospital Ngapi? Au zingetoa waalimu wangapi, manesi wangapi?

I don't believe for a moment, the highest office in the land plus all the security apparatus and CCM machinery, had no idea what was happening. The timing is also of interest here. The most attention was around the election time 2005.

Now,a sk yourself, who was benefiting from it? And who is benefiting from the status quo now! Please! Give us a break!

Ukweli ni kuwa kazi ikifanyika kisawasawa, basi kimsingi lazima Jemeradi afanye mapinduzi ya ndani ya CCM vinginevyo, technically au hata politically anaweza kuishia hana serikali. Sidhani na sitegemei that to happen. Tutafanyiwa viini macho mambo yatatulizwa and the next phase President atapiga debe kidogo and game sorted.

Put emotions and ushabiki on the side, and watch the space where Billali saga is going and let us revisit this subject when all the dust has settled.

Kumbuka they are just playing bad politics with our lives, yako yangu na familia zetu.

Taasisi.
 
Huyu Bwana mkubwa kaibukia wapi na kasema nini? Maana hiyo heading ilivyokaa nilidhani MC shupavu Ballali kazindua santuri yake inayosubiriwa kwa hamu!
 
Inawezekana kweli kabisa kuwa fedha zile zililiwa na watu wengine kabisa waliokuwa na madaraka juu ya Balalli. Hata hivyo, Dr Ballali hawezi kujikosha mikono kutoka kwenye skendo hii kwa vile ndiye aliyekuwa mtoaji wa pesa zile, na ndiye aliyetakiwa kutoa ushuri wa kitaalamu kuhusu uhalali wa malipo yale. Kama ushauri wake ulipingwa na wakubwa wake, alitakiwa ama ajiuzulu position ile au atoe malalamiko yake in writting kama alivyofanya Dr. Idrissa Rashid pale TANESCO miezi michache iliyopita.

Kwa hiyo, kwa vile Dr. Ballali hakulodge protest yoyote kuhusiana na malipo yale, kwangu mimi namwona kuwa ana hatia kali, ila siwezi kumbebesha hatia hiyo yeye peke yake. Ninataka atoe orodha ya washiriki wake katika kutenda uhalifu ule kusudi wagawane adhabu, asikubali kutumiwa na majambazi hao katika skendo hii kama mbuzi wao wa shughuli.
 
100% Balali, hayupo Boston kwa hiyo hii artcile ni doomed kabla hata haijaanza, licha ya kuisha, aache ujinga wa kitoto arudi bongo na kujibu mashitaka, hayo maneno yake tumechoka nayo,

Siku zote alipokuwa bongo alikuwa akiongea yeye mwenyewe, sasa all over sudden anaongelewa na wengine, WHY? Arudi aongelee wizi wake kwanza asilete maneno ya wengine, hayo ya wengine atuachie wenyewe wananchi tutaamua, lakini fisadi kama yeye hawezi kutuamulia sisi wananchi what to do!

Arudi na kubeba msalaba wake kwanza!

Mwalimu wangu ktk hili nakushauri utanguliwe na subira na kama una jambo unalolifahamu ni vema uwe wazi mapema juu ya huyu ndg Balali; si haki kumhukumu mtu eti kwa vile ametenguliwa ktk mamlaka. Tupatie utafiti wako Mwalimu,kwani tulio wengi tunakutegemea ktk ujenzi wa fikra makini. Hapa Mkuu umeniweka ktk wakati mgumu.

Nenda chini ukachimbue unayoyafahamu na utupe dhati yako kama tunavyokufahamu.
Thanks Mkuu na heri ya Mwaka Mpya
 
Mkuu IO,

Heshima mbele mkuu, sijakuona siku nyingi ila ninakumbuka mara ya mwisho ulikuwa unampa big support Tafiti Then Jadili (TTJ) sikuji aliishia wapi,

anyways, nafikiri kama unafuatilia kwa makini hiii mijadala tumeanza na Mama Meghji, baada tu ya kugundua kuwa alihusika na ku-support barua ya ulaji ilioandikwa na Balali, na since then tumekuwa tukilia na hawa wawili unajua ni kwa nini? Ni kwa sababu so far tuna a hard evidence kuwa walishiriki kwenye ufisadi, including Mgonja, na Mramba, wote tumekuwa tukiwapiga mawe sawa sawa,

Mawe ya Balali, (sitaki kuamini kuwa wewe ni Jasusi), ni kwamba Balali amejiongezea mzigo mzito kuhusiana na tuhuma dhidi yake kwa mambo aliyoyafanya mwishoni kuaniza kusaifiri nje, na mpaka kufikia kuandika barua ya kujiuzulu akiwa nje ya nchi, wenziwe owte wako bongo hawajakimbia, yeye peke yake ndiye aliyekimbia, mara anaumwa, hataki kuongea na mtu, sasa imekuwa hadithi nyingi mno kuhusiana na yeye tu huku wnegine hawasemwi, ni kwa sababu alijitafutia mwenyewe hiii attention, sasa nyinyi apologists wake msimlaumu mtu ila mlaumuni Balali mwenyewe kwa kujiletea unwanted attention ambayo inafikia mahalai hata wengine waliohusika hawatajwi ila yeye tu, ndio maana tunasema arudi nyumbani ajibu tuhuma dhidi yake ambazo tayari zipo, sasa kwenye kujibu ndio atatuambia nani alimtuma na nani hakumtuma, uamuzi wa kama anayosema ni kweli au sio kweli ni wa kwetu wananchi sio nyinyi mnaomtetea,

Naifikiri unaijua bongo vyema na kwamba msema kweli ni mpenzi wa Mungu, wananchi tutaamua kulingana na tunayosikia kutoka kwa viongozi wetu waliohusika, lakini tunahitaji kusikia Balali's side now, maana wanamtuhumu wameshasema, until atakapoongea yaani Balali, sisi wananchi tutaendelea kumkoma nyani based on evidence at hand ambayo tunayo tayari, inayoonyesha kuwa Balali, alichota na kumuomba Mama Meghji, amsaidie na uchunguzi, nothing personal against Balali, wale wote mnaomtetea naomba mtuelewe kwamba sisi ni wananchi acting on information already at hand!

Hatuwezi kua-act on information ambayo hatuna lakini mnayo nyinyi tu mnaomtetea tu, hapana tutaendelea kumkoma nyani tu mpaka giladi!

Field Marshal, hivi unaamini kuwa "Balali alichota na kumuomba Mama Meghji amsaidie"!? Please go and read the chronicle of events; we should not be relying on metaphysics and superstition! Hebu niambie hapa ni lipi unaloamini, yote haya tumeyasoma JF:
1. Balali aliitwa dodoma, kuulizwa maswali ambayo angeulizwa akiwa dar.
2. Things in Dodoma were too secretive
3. He had severe abdominal pains
4. He left for South Africa, then for Boston for treatment
5. He was in a comma
6. He couldn't speak
7. RO visited him and came back anouncing that our beloved Mnyalu will not escape death; it will be god miracles for him to wake up!
8. Balali submits a letter of resignation
8. I woke in the morning reading that, Mr. Balali is sacked and simulteneously in another thread our beloved daudi is dead!
What is cooking on? Clarify what is not true of the above? That is why I wudn't believe that our "principal" culprit is balali; somebody who is hiding that E&Y report is a chief culprit.
Field Marshall believe me, kama Balali alibenefit from these transactions, then lazima alipe adhabu, but at this stage is too early to know if he benefited.
Regarding the sacking and the situation now; naamini kuwa Rais aliyepo madarakani hana "guts" kwa sababu siyo clean; zile pesa zilitumika kumweka madarakani!
If he has guts, in the first place, when he had already sacked the govornor he cud move fast in authorising the arrest of the rest; you know who are those? The Meremeta Chairman (a heavy weight), the guy who authorised the Alex Stwart deal (mention him); the Directors of those companies!!

Mr Mwanyika when asked of what action is going to take, he said, HE IS LOOKING FOR WHICH LAW TO BE APPLIED TO IMPLICATE THE CULPRITS! the guys are happy and we are attacking balali!! Our system is unique, and believe me in our generation this will not change until you young people become serious on defining your destiny!!!!!
 
Field Marshal, hivi unaamini kuwa "Balali alichota na kumuomba Mama Meghji amsaidie"!? Please go and read the chronicle of events; we should not be relying on metaphysics and superstition! Hebu niambie hapa ni lipi unaloamini, yote haya tumeyasoma JF:
1. Balali aliitwa dodoma, kuulizwa maswali ambayo angeulizwa akiwa dar.
2. Things in Dodoma were too secretive
3. He had severe abdominal pains
4. He left for South Africa, then for Boston for treatment
5. He was in a comma
6. He couldn't speak
7. RO visited him and came back anouncing that our beloved Mnyalu will not escape death; it will be god miracles for him to wake up!
8. Balali submits a letter of resignation
8. I woke in the morning reading that, Mr. Balali is sacked and simulteneously in another thread our beloved daudi is dead!
What is cooking on? Clarify what is not true of the above? That is why I wudn't believe that our "principal" culprit is balali; somebody who is hiding that E&Y report is a chief culprit.
Field Marshall believe me, kama Balali alibenefit from these transactions, then lazima alipe adhabu, but at this stage is too early to know if he benefited.
Regarding the sacking and the situation now; naamini kuwa Rais aliyepo madarakani hana "guts" kwa sababu siyo clean; zile pesa zilitumika kumweka madarakani!
If he has guts, in the first place, when he had already sacked the govornor he cud move fast in authorising the arrest of the rest; you know who are those? The Meremeta Chairman (a heavy weight), the guy who authorised the Alex Stwart deal (mention him); the Directors of those companies!!

Mr Mwanyika when asked of what action is going to take, he said, HE IS LOOKING FOR WHICH LAW TO BE APPLIED TO IMPLICATE THE CULPRITS! the guys are happy and we are attacking balali!! Our system is unique, and believe me in our generation this will not change until you young people become serious on defining your destiny!!!!!

Mkuu IO,

Kwi kwi kwi!!! kati ya yote hapo juu, mimi naona no.4 pekee ndio sahihi, mengine yote ni SPIN bin SPIN. Na yenyewe mwanzoni ilisemekana alipanda ndege moja kwa moja mpaka USA. Ni sasa tu ndio imesahihishwa.

Hivi kamati ya bunge ingefuata Ballali Dar?

Nakubaliana na wewe kwamba hii meli waliyopanda akina Ballali ina abiria wengi sana. Ni wajibu wetu kuhakikisha wananyakwa mmoja mmoja. Kama kuna mtu mmoja anayeweza kutusaidia kujua nani alichukua nini, basi Ballali ni huyo mtu.

Madaraka kitu kibaya sana, RO ninayemjua mimi, nisingetegemea afurahie kifo cha mwenzake, lakini ndio hivyo tena kwenye power hakuna waungwana.
 
Tatizo hili saga limeghubikwa na majungu, uzushi, na nusu ukweli kiasi cha kumfanya mtu atilie mashaka chochote kile kitakachosemwa na yeyote yule na hivyo kukwamisha jitihada za kutafuta ukweli. Na katika mchakato huo ushahidi utageuzwa na kuchezewa (tampered with) na mwisho wa siku hakuna lolote la maana litakalotokea na watu wataishia kunyoosheana vidole.
 
Ballali still in the US, says envoy
DAILY NEWS Reporters in Zanzibar and Dar es Salaam
Daily News; Monday,January 21, 2008 @20:01

THE former governor of Bank of Tanzania (BoT), Dr Daud Ballali, is still in the US, the Tanzania envoy to Washington, Ambassador Ombeni Sefue, told the 'Daily News' on the sidelines of the ambassadors’ retreat in Zanzibar today.

Ambassador Sefue said the beleaguered former governor, whose fate now hangs in balance, was receiving medical care in Boston, Massachusetts. “He was in stable condition when I left. I get updates from my office and I am closely following up the matter.

As far as I know, he is still in Boston,” said the envoy. He, however, failed to remember the name of the hospital treating Dr Ballali. There are widespread rumours that Dr Ballali, whose VIP visa was revoked by the US government recently, has left for Malta.

Ambassador Sefue said cancellation of the visa does not necessarily lead to deportation of the visa holder. Meanwhile, the BoT is expected to make massive changes in its ranks to manage the extensive damage caused to its public image by massive misappropriation of funds at the bank’s External Payment Arrears (EPA) account.

The Minister for Finance, Ms Zakia Meghji, told the bank’s new Board of Directors in Dar es Salaam today, that one major challenge facing it was to restore public trust in the central bank.

“It is a fact that the public has lost confidence and trust in the bank,” she said. The board should also take keen interest in controlling foreign exchange reserves and keeping inflation down to check escalation of consumer prices. The new chairman of the Board and the Governor of BoT, Professor Benno Ndulu, reassured the minister that his board was ready for the challenges.
 
Another form of usanii from ambassador~*~*~*~*~*~*~*~*~*~
As far as I know, he is still in Boston," said the envoy. He, however, failed to remember the name of the hospital treating Dr Ballali.
 
Bwana Mkubwa Sefue anasema tena "Uongo",Ingekuwa Busara kwake kusema hajui lolote kuhusu Dr Balali.kwa sababu siku si nyingi alidai kuwa Hajui Kama Balali yupo Marekani.

Rais jakaya Kikwete alipokuja US september,Alimtuma Mr Othman kwenda kuzungumza/kumtazama (na) Dr.Balali,safari hiyo ya Kwenda Boston Ndg Sefue aliijua,kwani Othman aliongozana na Mr.Mtiro ambaye siku moja kabla ya safari hiyo alikuwa na Mkutano na Balozi kuhusu hali ya Afya ya Dr.Balali.

Watu wa Ubalozi DC wanajua wapi yupo Dr.Balali,na si kweli kwamba amekwenda Malta,kwani kuna utaratibu wa kutafuta "R" VISA baada ya visa yake "A" kuwa revoked,Kuna Wanasheria wa masuala ya Uhamiaji wanashughulikia hilo.Dr Balali atabaki Us Kwa viza ya matibabu,na kuondolewa viza yake haina maana kuwa amekuwa Deported.

Kupinda kwa Maelezo ya Viongozi wa serikali kuhusu Hatima ya Balali inaonekana kuna kitu kinafichwa,Wacha Dr.Balali aondoe huu ukimya kwa kusema wazi nini kilitokea!!,Ni wazi kuwa alikuwa Mzembe,lakini pia awe mkweli kwa kuwataja wote waliohusika hata wale waliompa kazi!!!.Sakata hili likiwekwa wazi ndio utakuwa Mwisho wa CCM,kwa sababu mtu wa kwanza kuitwa kutoa ushahidi atakuwa Mkapa.Kama wanavyosema Waungwana humu, stay tuned Drama ndio inaanza!!!!
 
Majuzi tu nilitoa onyo hapa kwamba kuna PR boosting hapa . Nikawapa uhakika kwamba Ballali yuko US na kwamba Ballali kweli ana makosa yale lakini nakataa kuamini kwamba kaiba pesa hizo . Nasema ngoma bado mbichi na mwisho mtaona ndiyo maana watu wako kimya sasa magazeti yanamgeukia Mahalau baada ya kuona maji marefu kwa Ballali lakini hatulali hadi mtueleweshe .
 
Malala Hoi Mungu Si Wa Balali. Pdidy....wala Wa Mwanakijiji,,,
Niliomba Wapendwa Tujaribu Kufunga Siku Mungu Atajibu Mamombi Yetu Na Hivi Ndivyo Anavyoanza Na Amin Usiamin Uwe Msilamu Mkristo Mpagani Tuzidi Kusali Mambo Yanakuja Mengi Tu,,kuna Vigogo Wengine Watangaza Nao Walilazimishwa Kusign Kama Mama M.....na Wengineo Na Ndipo Watakapomtaja The Real One,,,
Ushindi Lazima

Unajua waswahili tunaamini kuwa siku zote MKATA MTI HALAUMIWI!!, ila ALO-UANGUSHA KWA KUUEGEMEA,basi ndo-mbeba lawama zote!!
Jamani Balali muegemeaji tu!!,wakataji mti wengine kabisaa!!je atadhubutu kuwataja lakini??
**Wasiwasi wangu wanaweza Ku-mkolimba hawa!!
 
...issue kama hizi ndio zinakuonyesha jinsi system/serikali yetu ilivyo weak na haiwezi chochote zaidi ya kufanya kazi kwa kubahatisha au hawajui wanachofanya,hivi zile idara zetu tunazozilipa mabilioni kila siku ili kufanya kazi za jamhuri kuanzia Director of investigation,prosecutor,mkurugenzi wa rushwa,mhasibu mkuu wa serikali,TRA..etc ambao ndio walitakiwa kushughulikia hii issue lakini sijawahi kusikia chochote kutoka kwao zaidi ya raisi kasema this & that fanyeni uchunguzi...kwani hawajui kazi zao? sooooo weak wajomba pale hatuna serikali tuna mafisadi tuu
 
Ohhhh alibuka nyakati zile alipokuwa akiutetea ufisadi kupitia EPA sasa hawezi kuibuka tena RIP Ballali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom