LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
tatizo lenu nini? mnaona nafaidi//??! njooni tule batana mimi sorces zangu za kuaminika zinasema balali kajiunga humu JF ni member ili apate habari za kitaani kama kitaa kinaendelea kunuka au kimetulia.. jamaa anatuchora tulivyoanzisha huu UZI kuhusu issue yake! Mkuu balali japo comment kidogo! basi jitetee....:spy:
Kama yuko haia itajulikana tu, ninachoshangaa ni kwamba Jf Ina members mpaka chini ya uvungu iwe je habari za balali zisijulikane? Huwa namsikitia sana huyu mzee kwa kitendo chake cha kuacha kazi yake ya maana IMF na kuja kufanya siasa bongo ambazo zimemcost kama sio maisha yake basi Uhuru wake.
Osama bin Laden hakufa bado anaishi
Balali yuko hai anadunda unyamwezini
JFK yuko hai kule kwenye kijiji kimoja karibu na Andes mountains-South America
Hitler bado yu hai somewhere in Argentina
2Pac hakufa atarudi baada ya miaka 7x7, amejificha.
Bruce Lee bado yuko hai na hakufa
Elvis Presley yuko hai hakufa na atajitokeza
Nyerere yuko hai
Kenyatta yuko hai
..............................Msipokuwa makini na hizi conspiracy theories mtavuruga akili zenu. Is up to you whether to believe or not!
huu uzi umetoka wapi?