Wewe ni great thinker kweli.Hata "common sense"tu inakuambia kwamba Balali yuko hai,au umetumwa.Huhitaji kuwa na akili nyiiingi.
Hana jipya marehem,atuandalie nafasi tu huko kuzimu,serikali sio wajinga na hawawezi kumchekea mtu ambae ataweza leta sintofahamu kwa wananchi wake nikimaanisha kuwa kama angekuwa hai ni muda tu serikali ingefanya kile tunacho kielewa,
huyo hayupo hai ni mtu mwingine tu ndiye anayetumia mtandao huo.