Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Wawachukue wagonjwa wa ukimwi, kisukari na kifua kikuu kama "sample" wawapeleke na baada ya kunywa wawapeleke maabara kupima kama bado wanasumbuliwa na magonjwa yao. Hili halihitaji PHD kulithibisha, kupima dawa ni kutaka kuiba formular ya Babu bila idhini yake.
hawa walitaka per diems tu, wameshapata wachape rapa.