Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Je kulisemwa nini na muhimu? Dataz za wakati ule nz za sasa unaweza kukuta ziko tofauti na hivyo kila kitu kuwa na sura tofauti. Mie wakati ule sikuwemo humu ndani ya JF. Ukiweza tujulishe kwa mbalimbali maana hata mimi nilisikia kuwa ule wimbo wa Seya tutoke wote ambazo Nguza anamvalisha mtoto PETE ulisababisha yote haya.

sawa kabisa kaka,ule wimbo ndio ulioitimisha mambo ingawa mambo yenyewe yalikuwa yanawaka kichini chini,yule mwanamke alikuwa mwanamke alikuwa kimada wa OMARY MAHITA,na bwana mkubwa alimpangia nyumba lakini baadae yule mwanamke akamtosa bwana mkubwa akawa anachukuliwa na babu seya(nguza),huo ndio ulikuwa mwanzo wa safari ya nguza na wanawe gerezani......!
 
Mmh sasa kwa nini huyo mwanamke hakutoa ushahidi .kusema anachokijua yeye jamani.kama ni kweli huyu baba kaonewa sana yeye na familia yake.Na hasa hao hao akina papii
 
Mmh sasa kwa nini huyo mwanamke hakutoa ushahidi .kusema anachokijua yeye jamani.kama ni kweli huyu baba kaonewa sana yeye na familia yake.Na hasa hao hao akina papii

ile kesi ilivyokuwa inakwenda ilikuwa haieleweki,kwani hata wakina nguza walishalalamika juu ya uendeshaji wa kesi yao,watoto waliodaiwa wameingiliwa walikuwa wametengenezwa ili kuwaangamiza wakina nguza,hata mwalimu wa shule ya msingi mashujaa ambaye ilikuwa inadaiwa ndie aliyekuwa anawapeleka watoto nyumbani kwa nguza mahakama ilimwachia huru baada ya huyo mwanamke kutishia kuwa hawezi kusema/kutetea uongo kwa kuwa AMEMPOKEA YESU!
 
Mtimti,

Bahati nzuri nilikuwa na maoni kama yako, nikaletewa faili, nakala, nzima ya kesi mpaka hukumu. Pamoja na mengine kweli jamaa waliwabaka wale watoto. Kuna vitu ambavyo wale watoto kama walitengenezwa wangeshindwa kuvijua au kuvikumbuka. Kama kabati ipo wapi etc.

Kasome jalada kaka upate ukweli. Hata hayo mmadai unayoleta hapa ni juu juu sana.
 
Kujua kabati liko wapi, sio kithibitisho kuwa wameabkwa, pengine walikwenda kucheza na wenzao, au mwalimu wao aliwapeleka pale kwa lengo jingine na si hilo la kubakwa. Vipimo vya Daktari je vinasemaje? Na kwa nini huyo mwalimu hakufungwa?
 
Fairplayer, ningelitamani sana kama ungeliandika zaidi. Tatizo ni kuwa sijui wewe unachokiandika kina ukweli kiasi gani ila inabidi nikuamini. Sasa unasema kusoma mafaili, kwa mtu kama mie ninayeishi huko Sikonge, nitaweza kupata uwezekano wa kusoma? Ngoja tu nikuamini hivyo hivyo kwa hayo uliyoyasema ingawa kama mie Mahita angelikuwa kaka yangu, pia ningeliandika hivyo hivyo. Ngoja niuache u=THOMAS.
 
Magwiji... ni hivi... inaelekea kulikuwa na ugomvi ya kugombea kimada kweli but mimi naamini jamaa walitenda makosa. Sidhani kama kuna uwezekano wa kuchonga mashahidi wengi tena watoto na wote wakanyoosha ushahidi bila kupinda. Haliingii akilini hata kidogo.
 
Mtimti,

Bahati nzuri nilikuwa na maoni kama yako, nikaletewa faili, nakala, nzima ya kesi mpaka hukumu. Pamoja na mengine kweli jamaa waliwabaka wale watoto. Kuna vitu ambavyo wale watoto kama walitengenezwa wangeshindwa kuvijua au kuvikumbuka. Kama kabati ipo wapi etc.

Kasome jalada kaka upate ukweli. Hata hayo mmadai unayoleta hapa ni juu juu sana.

kesi ngapi zinatengenezwa kaka?unafahamu ya kuwa wanamuziki waliotoka kongo waliunda muugano wao wakiongozwa na king kiki,wakamfata mengi awasaidie katika hiyo kesi,kilichompata mengi ni kupewa onyo kali toka juu(serikalini) kwa aachane kabise kujihusisha na hiyo kesi,mengi akawatosa wakina nguza
 
Kujua kabati liko wapi, sio kithibitisho kuwa wameabkwa, pengine walikwenda kucheza na wenzao, au mwalimu wao aliwapeleka pale kwa lengo jingine na si hilo la kubakwa. Vipimo vya Daktari je vinasemaje? Na kwa nini huyo mwalimu hakufungwa?

nilipata kuongea na mwanamuziki mmoja wa kikongo akaniambia kuwa vipimo vya daktari vilionesha kuwa hakuna mtoto aliyekuwa ameonesha ameingiliwa ,ila kuna mmoja alionekana ana uchafu sehemu za siri(na hii ni kutokana na kutojua jinsi ya kujiweka safi)
 
Mkuu vipi Mwalimu aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kuachiwa bila hatia, mbona hiyo inakuingia akilini?

Halafu ninaomba ufuatilie tena kwa makini je hawa wakongo bado wapo jela kweli, au? Msiwe mnakurupuka wakuu!

mkuu,haiingii akilini kwa mwalimu Sigirinda Ngomboka kuachiwa bila hatia....walishindwa kumwadhibu kwa kuwa walijua wakimwadhibu ataanika yote hadharani kwa kuwa tayari alishawaambia kuwa hawezi kusema uongo kwa kuwa yeye amempokea YESU
 
Guys ninarudia nimesoma faili zima. Jamaa walikuwa na hatia au niseme walikuwa wapumbavu kui9ngia kwenye mtego.

Kama ni mchongo waliingia kisawasawa. Naweza kuandika facts zaidi ila inategemea wewe una mtazamo upi.

Kumbuka hakimu anaangalia FACTS presented before him/her!!!! kuwa focused itakusaidia
 
Mkuu vipi Mwalimu aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kuachiwa bila hatia, mbona hiyo inakuingia akilini?

Halafu ninaomba ufuatilie tena kwa makini je hawa wakongo bado wapo jela kweli, au? Msiwe mnakurupuka wakuu!

Kulingana na habari niliyosoma gazeti moja kama miezi mitatu iliyopita, inaelekea kuwa bado wako jela, kwani Papii Kocha alikaririwa akisema kuwa anaomba Mungu tu siku moja atakuwa huru tena.

Kwa umaarufu wao, naona ugumu kuelewa kama kweli wanaweza kuachiwa huru bila kuandikwa magazetini.
 
Mkuu Kichuguu hilo gazeti liliandikwa mwaka mmoja uliopita, sio miezi mitatu iliyopita angalia tena mkuu, ila mimi nimesema mara moja tu.

Asante sana,

Sina uhakika ni gazeti gani na ni la lini ila ni habari ambayo bado iko akilini mwangu. Inawezekana kweli ni zaidi ya miezi mitatu iliyopita.

Inasikitisha sana kuona familia nzima imevunjwa kutokana na mambo ya kipuuzi tu. Ninawaombea sana ikiwezekana tena warudie masiha yao ya kawaida. Watoto wote wale ni Watanzania, kwani walizaliwa Tanania na mmoja wazazi wao (mama) ni mtanzania.
 
Guys ninarudia nimesoma faili zima. Jamaa walikuwa na hatia au niseme walikuwa wapumbavu kui9ngia kwenye mtego.

Kama ni mchongo waliingia kisawasawa. Naweza kuandika facts zaidi ila inategemea wewe una mtazamo upi.

Kumbuka hakimu anaangalia FACTS presented before him/her!!!! kuwa focused itakusaidia

...na file lenyewe ulilosoma limeandikwa na hao hao waliochonga hiyo kesi,mafaili mengi ya police TZ ni big joke kama hujui,ngoja yakukute siku moja ndio utajua justice system ya bongo inavyofanya kazi,watu wengi sana wanafungwa bongo bila kuwa na hatia kama hujui!
 
Ninawaombea ipo siku Mungu atafanya muujiza kwa ajili yao na Watanzania kwa ujumla. Ikiwa yule Nguza na wanae walitiwa hatiani je mwalimu aliyeachiwa huru kama asingewapeleka watoto kwa familia ile wangewezaje kufanikisha uovu ule? Na pia kwa wanaofahamu huyo mwalimu yuko wapi sasa hivi? Usishangae kusikia hajulikani aliko!!!!!
 
Back
Top Bottom