Babu loliondo aleta taabu

We kijana!
Mbona unataka kupandisha watu mzuka, maana sipati picha Miss Judith alipoiona heading ya hii post alikuwaje.?
 
Katika hali isiyo ya kawaida kitendo hiki cha kupokea tsh 500 na kusababisha mzunguko wa pesa hiyo kupungua kwani hapeleki bank na amekua akiziweka basi je nini kifanyike

pelekeni coins. Pia sijawahi kusikia eti benki kuu wameishiwa noti. Nendi benki kuu, ukitoa elfu hamsini iunapewa miatano mia.
 
we unalalamikia sh 500 wakati serikali inaingiza fedha nyingi sana kwa sababu ya ushuru unaotozwa na halmashauri ya wilaya ya Loliondo,pia kuna watu wengi wanaotoka nje ya nchi na kuingizia nchi fedha za kigeni,cha muhimu ni kuweka mazingira mazuri kwa watu wanaoenda huko bila kujalisha kwamba wanapona au hawaponi,pia ni kama utalii wa ndani kwa upande mwingine
 
Back
Top Bottom