Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,562
- 2,125
Pale unapo kua na akili, alafu zinakuwa hazina akili 🥴🥴Mbona hapo pameandikwa
"Mama Maria amuongoze"
Ni Mama Maria yupi na anamwongozaje?
Pale unapo kua na akili, alafu zinakuwa hazina akili 🥴🥴Mbona hapo pameandikwa
"Mama Maria amuongoze"
Ni Mama Maria yupi na anamwongozaje?
Hivi hii ni akili au matope?KKKT wanapiga kura kuchagua askofu
Ndio, tofauti ipo...!Roma tofaut na KKKKK T
Uchaguzi wa papa humshirikisha sangoma pia?Mbali na kura wanawashirikisha sangoma pia kwenye kugombania nafasi
RC kuna demokrasia pia maana papa huchaguliwa pia.Ndio, tofauti ipo...!
KKKT wanapiga kura kumchagua Askofu wao, hence kuna Demokrasia
Wakati Wakatoliki ni Papa (Muargentina) ndiye anayeteua kwa utashi wake
Tofauti nyingine ni kuabudu sanamu na kumtukuza yule mama aitwaye Mary na kumuita mama wa Mungu
Kama Papa huchaguliwa kwa kura kwanini Maaskofu tunaowafahamu sisi na tunaishi nao huku tusiwapigie kura?RC kuna demokrasia pia maana papa huchaguliwa pia.
Mwamba unahaha sana na imani za watu..!! Haya kuna siku umewahi piga kura kumchagua mkuu wa mkoa? Au mkuu wa wilaya??Au mkurugenzi? Hujawahi, je! hakuna demokrasia?Ndio, tofauti ipo...!
KKKT wanapiga kura kumchagua Askofu wao, hence kuna Demokrasia
Wakati Wakatoliki ni Papa (Muargentina) ndiye anayeteua kwa utashi wake
Tofauti nyingine ni kuabudu sanamu na kumtukuza yule mama aitwaye Mary na kumuita mama wa Mungu
Maria hachukui nafasi ya yeyote, Ila haimaanishi na yeye hana nafasi! Yeye ni mama mlezi wa Yesu.Hapa ndipo hata mimi huwa sielewi, Mama Maria ana nafasi gani zaidi kwenye Mamlaka tuliambiwa Mungu ndiye Mkuu, Yesu alitumwa kuja kutuokoa na alipoondoka aliacha Roho mtakatifu ndiye atusimamie, Je Maria anachukua nafasi ya nani?
Wewe muumini wa parokia na jumuiya ipi?Kama Papa huchaguliwa kwa kura kwanini Maaskofu tunaowafahamu sisi na tunaishi nao huku tusiwapigie kura?
Huyo Papa amewahi kufika wanapoishi Maaskofu na kuwafahamu kuliko sisi Waumini na Mapadri wengine?
Kuteuliwa Askofu sio Demokrasia asilaniMwamba unahaha sana na imani za watu..!! Haya kuna siku umewahi piga kura kumchagua mkuu wa mkoa? Au mkuu wa wilaya??Au mkurugenzi? Hujawahi, je! hakuna demokrasia?
Bikira maria mama wa HurumaWewe muumini wa parokia na jumuiya ipi?
Kuteuwa mkuu wa mjkoa je?Kuteuliwa Askofu sio Demokrasia asilani
Demokrasia ni kumpigia kura mumtajaye (nguvu ipo kwa wajumbe sio Mzungu mmoja)
Jiroposhe tuBikira maria mama wa Huruma
Ndio mama wa Mungu?Maria hachukui nafasi ya yeyote, Ila haimaanishi na yeye hana nafasi! Yeye ni mama mlezi wa Yesu.
Sio sahihi pia, ndio maana Katiba mpya ya JMT iliyopitishwa na watu wenye weledi waliwepo Viongozi wa dini hata katoliki.....inawataka Wakuu wa Mikoa wachaguliwe na Wananchi na wawe na kikomo cha Utumishi sio kuteuliwa apendapo RaisKuteuwa mkuu wa mjkoa je?
Usilete siasa ndani ya kanisa! Papa ni mrithi wa kiti cha Petro hivyo ana mamlaka kamili ndani ya kanisa la Kristu. Mamlaka ya teuzi yanabaki kwenye kiti cha Mtume Petro, Wajibu wa waumini ni kujibidiisha kwenye imani zaidi sio kwenye siasa.Kama Papa huchaguliwa kwa kura kwanini Maaskofu tunaowafahamu sisi na tunaishi nao huku tusiwapigie kura?
Huyo Papa amewahi kufika wanapoishi Maaskofu na kuwafahamu kuliko sisi Waumini na Mapadri wengine?