Baadhi ya Watanzania wanyonge maeneo mbalimbali wampigia magoti Paul Makonda kumuomba arejee mitaani kuendelea na ziara

Ndugu zangu Watanzania,

Baadhi ya watanzania wanyonge wamempigia magoti Mh. Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa wakimuomba kwa unyenyekevu, upendo na heshima kubwa aweze kurejea mitaani kuendelea na ziara zake za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM Pamoja na kusikiliza na kutatua kero na changamoto mbalimbali papo kwa papo.

Wameendelea kusema kuwa uwepo wa Mh Makonda na kupita kwake katika maeneo mbalimbali nchini kumeleta matokeo chanya na makubwa sana, wanasema kuna maeneo watu walikuwa ni kama wanafanya kazi kwa mazoea, wengine kufanya ofisi za umma kama mali binafsi, wengine kujiona kama miungu watu, wengine kuwachukulia wananchi kama si chochote, wengine kutoa majibu na kauli zisizo za kiungwana na heshima kwa wananchi wanaofika katika ofisi zao, wengine kutengeneza mazingira ya rushwa katika kutoa huduma.

Wanasema hawa wachache waliokuwa wanaharibu taswira nzuri ya serikali ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama samia Suluhu Hasssan kwa sasa wamebadilika sana kitabia, kwa sasa wanawasikiliza wananchi, wana waheshimu, wanawahudumia na kuwapokea vizuri, wanatoka maofisini kwenda kusikiliza kero za wananchi mitaani huko, wanatoa lugha nzuri na kuwa wasikivu ufikapo katika ofisi za umma na wanatambua kuwa wananchi ndio wenye nchi na ndio wanaopaswa kusikilizwa wanataka nini, wana shida ipi na nini kinawasumbua.

Wanasema viongozi wale wachache waliokuwa wanafanya kazi kwa mazoea na kuwa kama wamejisahau kwa sasa wameacha tabia hiyo, wamebadilika, wamejifunza, wanatambua sasa cheo ni dhamana, ofisi za umma ni mali ya umma, wananchi ndio walioiweka serikali madarakani na inapaswa kufanya kwa kazi kwa ajili ya watu wote bila kujali tofauti za itikadi za kisiasa kwa kuwa mahitaji yao, kuhudumiwa kwao na mishahara yao inatokana na malipo ya kodi za watanzania wote.

Wananchi wanasema kuwa sasa wana matumaini makubwa ya kusaidiwa shida zao waendapo katika ofisi za umma ,wana matumaini na imani ya kupata msaada bila kujali hali zao za kiuchumi.

Lakini pamoja na kubadilika huku kwa watumishi wa umma waliokuwa wakifanya Kazi kwa kusua sua na kwa mazoea, bado wapo wachache ambao ni kama wapo bado usingizini, ni kama bado hawajatambua mishahara yao inatokana na kodi za wananchi, ni kama bado wanaona ofisi za umma ni mali zao binafsi wanazoweza kuzitumia watakavyo wao, wapo ambao wamekuwa na ucheleweshaji mkubwa sana katika kutatua kero za watu na kutoa majibu na suluhisho kwa watu na hivyo kuchelewesha haki za watu kwa wenye kustahili kupata haki.

Hivyo wanamuomba Mh Makonda ambaye yeye yupo kwa niaba ya chama ambacho ndio mdomo wa wananchi na sauti yao na ambacho ndio kilichopewa kura za kukiwezesha kuunda serikali, aweze kurejea mitaani na kuendelea na ziara zake ili apate kusikia nini wananchi wangependa wamwambie ili apeleke serikalini, lakini pia wanamshukuru kwa kuwa ziara zake zimekuwa zikiwaamsha walio lala maofisini na kujisahau. Hivyo wanamuomba sana kwa magoti ya unyenyekevu arejee kuendelea na ziara zake.

Mwisho wanampongeza sana Rais wao mpendwa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hasssan kwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii katika kutatua changamoto mbalimbali pamoja na kuleta matumaini katika maisha ya watanzania. Wanampongeza sana Mama yao kwa kupunguza mgao wa umeme kwa 85% na hivyo kumulika na kuangaza maisha ya watanzania, wanashukuru kwa kuondoa giza katika mioyo yao na kazi zao na sasa wanafanya kazi na kutembea katika nuru na mwanga huku wakijiamini.

Wanawapongeza viongozi wote serikalini wanaoendelea kumsaidia Mh. Rais katika kutekeleza ilani ya CCM, wanawapongeza viongozi wote wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama na kuwawezesha wananchi kufanya kazi muda wote usiku na mchana bila hofu yoyote ile.

Wanaendelea kumuombea afya njema Mh. Rais na kumtakia kila lenye heri katika majukumu yake. Wanawaomba viongozi wengine wote kuendelea kufanya kazi kwa kujituma na kujitolea. Wananchi wanasema wataendelea kuwa wenye subira na uvumilivu kwa serikali yao pale itakapokijokeza changamoto yoyote ile mbele yetu kama Taifa kwa kuwa wana imani kubwa sana na serikali ya Rais Samia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
View attachment 2916699View attachment 2916700View attachment 2916701View attachment 2916703
Huo unyonge wameletewa na nani?
 
Hahahaha wala usijali, hawa WA Kwangu kabisa hawa. Weekend imeendaje lakini Ndugu??
Kibinafsi,
Namshukuru sana Mungu, ilikua wikiendi tulivu na njema sana japo nilikua kazini..

Nawaombea Faraja ya Mungu wenzetu huko Kaskazini.
Wawe na subra na ustahimilivu kwa ajali mbaya, nzito na ya majonzi sana iliyogharimu maisha ya ndugu zetu waTanzania kadhaa.
Mungu awajalie ahuweni ya mapema majeruhi wote na wapapumzishe kwa amani wale wote alowaita kwake...
 
aisee nimeona kwa social media, duh inatisha sana sana. Ukiwa hai ni jambo la kumshukuru MUNGU sana. endelea kubarikiwa na uwe na week ya baraka
 
Yaani mtu usome ivumwe secondary afu uwe na akili?

Hili ndio zao la wanafunzi toka shule za ccm
 
Ndugu zangu Watanzania,

Baadhi ya watanzania wanyonge wamempigia magoti Mh. Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa wakimuomba kwa unyenyekevu, upendo na heshima kubwa aweze kurejea mitaani kuendelea na ziara zake za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM Pamoja na kusikiliza na kutatua kero na changamoto mbalimbali papo kwa papo.

Wameendelea kusema kuwa uwepo wa Mh Makonda na kupita kwake katika maeneo mbalimbali nchini kumeleta matokeo chanya na makubwa sana, wanasema kuna maeneo watu walikuwa ni kama wanafanya kazi kwa mazoea, wengine kufanya ofisi za umma kama mali binafsi, wengine kujiona kama miungu watu, wengine kuwachukulia wananchi kama si chochote, wengine kutoa majibu na kauli zisizo za kiungwana na heshima kwa wananchi wanaofika katika ofisi zao, wengine kutengeneza mazingira ya rushwa katika kutoa huduma.

Wanasema hawa wachache waliokuwa wanaharibu taswira nzuri ya serikali ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama samia Suluhu Hasssan kwa sasa wamebadilika sana kitabia, kwa sasa wanawasikiliza wananchi, wana waheshimu, wanawahudumia na kuwapokea vizuri, wanatoka maofisini kwenda kusikiliza kero za wananchi mitaani huko, wanatoa lugha nzuri na kuwa wasikivu ufikapo katika ofisi za umma na wanatambua kuwa wananchi ndio wenye nchi na ndio wanaopaswa kusikilizwa wanataka nini, wana shida ipi na nini kinawasumbua.

Wanasema viongozi wale wachache waliokuwa wanafanya kazi kwa mazoea na kuwa kama wamejisahau kwa sasa wameacha tabia hiyo, wamebadilika, wamejifunza, wanatambua sasa cheo ni dhamana, ofisi za umma ni mali ya umma, wananchi ndio walioiweka serikali madarakani na inapaswa kufanya kwa kazi kwa ajili ya watu wote bila kujali tofauti za itikadi za kisiasa kwa kuwa mahitaji yao, kuhudumiwa kwao na mishahara yao inatokana na malipo ya kodi za watanzania wote.

Wananchi wanasema kuwa sasa wana matumaini makubwa ya kusaidiwa shida zao waendapo katika ofisi za umma ,wana matumaini na imani ya kupata msaada bila kujali hali zao za kiuchumi.

Lakini pamoja na kubadilika huku kwa watumishi wa umma waliokuwa wakifanya Kazi kwa kusua sua na kwa mazoea, bado wapo wachache ambao ni kama wapo bado usingizini, ni kama bado hawajatambua mishahara yao inatokana na kodi za wananchi, ni kama bado wanaona ofisi za umma ni mali zao binafsi wanazoweza kuzitumia watakavyo wao, wapo ambao wamekuwa na ucheleweshaji mkubwa sana katika kutatua kero za watu na kutoa majibu na suluhisho kwa watu na hivyo kuchelewesha haki za watu kwa wenye kustahili kupata haki.

Hivyo wanamuomba Mh Makonda ambaye yeye yupo kwa niaba ya chama ambacho ndio mdomo wa wananchi na sauti yao na ambacho ndio kilichopewa kura za kukiwezesha kuunda serikali, aweze kurejea mitaani na kuendelea na ziara zake ili apate kusikia nini wananchi wangependa wamwambie ili apeleke serikalini, lakini pia wanamshukuru kwa kuwa ziara zake zimekuwa zikiwaamsha walio lala maofisini na kujisahau. Hivyo wanamuomba sana kwa magoti ya unyenyekevu arejee kuendelea na ziara zake.

Mwisho wanampongeza sana Rais wao mpendwa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hasssan kwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii katika kutatua changamoto mbalimbali pamoja na kuleta matumaini katika maisha ya watanzania. Wanampongeza sana Mama yao kwa kupunguza mgao wa umeme kwa 85% na hivyo kumulika na kuangaza maisha ya watanzania, wanashukuru kwa kuondoa giza katika mioyo yao na kazi zao na sasa wanafanya kazi na kutembea katika nuru na mwanga huku wakijiamini.

Wanawapongeza viongozi wote serikalini wanaoendelea kumsaidia Mh. Rais katika kutekeleza ilani ya CCM, wanawapongeza viongozi wote wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama na kuwawezesha wananchi kufanya kazi muda wote usiku na mchana bila hofu yoyote ile.

Wanaendelea kumuombea afya njema Mh. Rais na kumtakia kila lenye heri katika majukumu yake. Wanawaomba viongozi wengine wote kuendelea kufanya kazi kwa kujituma na kujitolea. Wananchi wanasema wataendelea kuwa wenye subira na uvumilivu kwa serikali yao pale itakapokijokeza changamoto yoyote ile mbele yetu kama Taifa kwa kuwa wana imani kubwa sana na serikali ya Rais Samia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
View attachment 2916699View attachment 2916700View attachment 2916701View attachment 2916703
Wewe jamaa utakuwa zombie 100%
 
Kichwa cha Habari kimekosewa;
Kinatakiwa kisomeke ifuatavyo:
BAADHI YA WANANCHI, WAHANGA WA DHULUMA NA MANYANYASO YA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM TANZANIA WAMLILIA MAKONDA.....
 
Hivi huyu Makonda ambaye ameamua kusanua wizi wa CCM na ujangiri wa serekali ya CCM mchana kweupe, siku wananchi watakapokuja kuambiwa wasiipe CCM kura kwa sababu ni wezi na serekali yake atakuja kubisha kuwa CCM na serekali yake siyo wezi?.
 
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Makonda kiongozi wetu mchapa kazi,mwenye huruma,upendo ,hekima, busara na ujasiri wa hali ya juu sana katika kuwatetea na kuwasemea wasio na sauti.
Hebu ondoa ushuzi wako hapa nani Hana sauti hapa? Nyie ndo mnaochafua taswira za jinsia yaani una mambo ya kujibebisha utadhani una labia majora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom