Baada ya utapeli wa kuponya vilema, UKIMWI na miujiza kudharaulika: what next kwa Manabii wa kiroho?

Mwisho wa siku mambo ya dini na mungu ni utapeli tu. Mungu hayupo na mambo ya dini ni utapeli na wote wanaoyafanya ni matapeli tu.

Ubaya wa utapeli ni kua mwenzao akiwazidi ujanja matapeli wenzao huanza kumchongea na kumzushia kisa tu kawazidi ujanja kwenye kutapeli.

Dini ni utapeli. Mungu anaesemekana yupo hayupo na hajawahi kuwepo.
Upo sahihi!
 
Nmesema kitu nikicho wahi kuona..

Sijawahi exprienc hata kukutana na mtu wa namna hyo akiombewa.....
Manaake jibu ni hapana.

Shukran kwa majawabu yako.
Mimi namtafuta mtu aliye wahi kuona/kushuhudia mtu aliyezaliwa kipofu au kiziwi akipata kusikia na kuongea.

Hapa napokaa mimi tupo jirani na kituo cha kulelea viziwi na wasioona na pia walio na ulemavu tofauti tofauti,baadhi yao ni waumini wa zuri wa vitabu hivi Quran na Bible.
 
Mualikeni mtumish yeyote mahali hapo then MUNGU wa huyo mtumishi ajipiganiye yeye mwenyewe ajidhihirishe, hiyo ndio namna ya kuprove MUNGU wa huyo mtu , period. Sio kuuliza hapa, unaweza ukajibiwa na walio prove bado ukashndwa kusadiki unaweza ukajibiwa na matapeli pia...

So peleka sample yako but sio kwa lengo la kujaribu huweza wa MUNGU nope but kwa lengo la kutafuta solution...ila kuwa makini.
 
Mwisho wa siku mambo ya dini na mungu ni utapeli tu. Mungu hayupo na mambo ya dini ni utapeli na wote wanaoyafanya ni matapeli tu.

Ubaya wa utapeli ni kua mwenzao akiwazidi ujanja matapeli wenzao huanza kumchongea na kumzushia kisa tu kawazidi ujanja kwenye kutapeli.

Dini ni utapeli. Mungu anaesemekana yupo hayupo na hajawahi kuwepo.
Mungu yupo ndugu fikiria kwa kina, dini ni njia tu za kutufikisha kwenye ufalme wa Mungu ndio maana dini zipo nyingi kwasababu ni njia ya kutufikisha mahala fulani!..
 
Mualikeni mtumish yeyote mahali hapo then MUNGU wa huyo mtumishi ajipiganiye yeye mwenyewe ajidhihirishe, hiyo ndio namna ya kuprove MUNGU wa huyo mtu , period. Sio kuuliza hapa, unaweza ukajibiwa na walio prove bado ukashndwa kusadiki unaweza ukajibiwa na matapeli pia...

So peleka sample yako but sio kwa lengo la kujaribu huweza wa MUNGU nope but kwa lengo la kutafuta solution...ila kuwa makini.
Najua hakuna wakuthibitisha hili la kipofu kuona au kiziwi kuponywa.

Wafia dini wanataabu sana.

"Uhuru wa miguu mikono akili imefungwa minyororo"
 
Mafuta yanauzwa, mengine uyakanyage, chumvi tukubali huu utapeli umeenea sana lakini ndio inafika ukingoni
 
Dunia imejaa mazuzu kuliko werevu!!! Kwahiyo haya majvha yataendelea kuliwa tu hadi mwisho wa dunia... wasipoliwa kwa mgongo wa wale wanaotumia jina la Yesu basi wataliwa kwa staili nyingine!!!
 
Ni shida sana
 
Inadhihirika sasa kama kuna mushkeli mtu hajengi kanisa, hata kusaidia waumini walishindwa kusomesha watoto wao kwa umasikini lakini bado anahimiza utoaji sadaka, upandaji wa mbegu, sadaka za kujiambatanisha na mtume "John bravo"
Inabidi TRA watoze ushuru kwa hawa wajasiriamali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imani Huzaa imani. Nguvu ya mtu iko katika imani. Kwake yeye aaminiye yote yanawezekana. Ashukuriwe Yesu aliyekufa msalabani kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu.Ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Soma: Mathayo 10:1,8.
1 Wakorintho 12:28
Matendo ya mitume 4:30
Katika imani yetu nyonge sana, narudia, nyonge sana kwa Yesu Kristo utupa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu ili katika madhaifu yetu Mungu apate kuonekana kupitia madhaifu hayo.
 
nenda MOI Muhimbili kuwaombee waliovunjika miguu irudi kama mwanzo bila operation, otherwise utatokwa povu tu
 
Hayo pia ni mawazo na mtizamo wako, katika kile unachokiamini, si vibaya. Si lazima kila wakati kila mtu aamini katika kile unachokiamini wewe.
 
Back
Top Bottom