Upo sahihi!Mwisho wa siku mambo ya dini na mungu ni utapeli tu. Mungu hayupo na mambo ya dini ni utapeli na wote wanaoyafanya ni matapeli tu.
Ubaya wa utapeli ni kua mwenzao akiwazidi ujanja matapeli wenzao huanza kumchongea na kumzushia kisa tu kawazidi ujanja kwenye kutapeli.
Dini ni utapeli. Mungu anaesemekana yupo hayupo na hajawahi kuwepo.
Manaake jibu ni hapana.Nmesema kitu nikicho wahi kuona..
Sijawahi exprienc hata kukutana na mtu wa namna hyo akiombewa.....
Mualikeni mtumish yeyote mahali hapo then MUNGU wa huyo mtumishi ajipiganiye yeye mwenyewe ajidhihirishe, hiyo ndio namna ya kuprove MUNGU wa huyo mtu , period. Sio kuuliza hapa, unaweza ukajibiwa na walio prove bado ukashndwa kusadiki unaweza ukajibiwa na matapeli pia...Manaake jibu ni hapana.
Shukran kwa majawabu yako.
Mimi namtafuta mtu aliye wahi kuona/kushuhudia mtu aliyezaliwa kipofu au kiziwi akipata kusikia na kuongea.
Hapa napokaa mimi tupo jirani na kituo cha kulelea viziwi na wasioona na pia walio na ulemavu tofauti tofauti,baadhi yao ni waumini wa zuri wa vitabu hivi Quran na Bible.
Mungu yupo ndugu fikiria kwa kina, dini ni njia tu za kutufikisha kwenye ufalme wa Mungu ndio maana dini zipo nyingi kwasababu ni njia ya kutufikisha mahala fulani!..Mwisho wa siku mambo ya dini na mungu ni utapeli tu. Mungu hayupo na mambo ya dini ni utapeli na wote wanaoyafanya ni matapeli tu.
Ubaya wa utapeli ni kua mwenzao akiwazidi ujanja matapeli wenzao huanza kumchongea na kumzushia kisa tu kawazidi ujanja kwenye kutapeli.
Dini ni utapeli. Mungu anaesemekana yupo hayupo na hajawahi kuwepo.
Najua hakuna wakuthibitisha hili la kipofu kuona au kiziwi kuponywa.Mualikeni mtumish yeyote mahali hapo then MUNGU wa huyo mtumishi ajipiganiye yeye mwenyewe ajidhihirishe, hiyo ndio namna ya kuprove MUNGU wa huyo mtu , period. Sio kuuliza hapa, unaweza ukajibiwa na walio prove bado ukashndwa kusadiki unaweza ukajibiwa na matapeli pia...
So peleka sample yako but sio kwa lengo la kujaribu huweza wa MUNGU nope but kwa lengo la kutafuta solution...ila kuwa makini.
MunguTuombe mungu
Ni shida sanaDunia imejaa mazuzu kuliko werevu!!! Kwahiyo haya majvha yataendelea kuliwa tu hadi mwisho wa dunia... wasipoliwa kwa mgongo wa wale wanaotumia jina la Yesu basi wataliwa kwa staili nyingine!!!
Mkuu tupe ushahidi maana dunia ina mengi zaidi ya unavyofahamu weweHivi mnawaamini hawa manabii wa uongo wanaowaandaa watu wao wa kufanya maigizo?
Hebu mgoogle victor kanyari utapata majibu mujarabu, usanii Wa level ya PhDMkuu tupe ushahidi maana dunia ina mengi zaidi ya unavyofahamu wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda MOI Muhimbili kuwaombee waliovunjika miguu irudi kama mwanzo bila operation, otherwise utatokwa povu tuImani Huzaa imani. Nguvu ya mtu iko katika imani. Kwake yeye aaminiye yote yanawezekana. Ashukuriwe Yesu aliyekufa msalabani kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu.Ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Soma: Mathayo 10:1,8.
1 Wakorintho 12:28
Matendo ya mitume 4:30
Katika imani yetu nyonge sana, narudia, nyonge sana kwa Yesu Kristo utupa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu ili katika madhaifu yetu Mungu apate kuonekana kupitia madhaifu hayo.
Hayo pia ni mawazo na mtizamo wako, katika kile unachokiamini, si vibaya. Si lazima kila wakati kila mtu aamini katika kile unachokiamini wewe.nenda MOI Muhimbili kuwaombee waliovunjika miguu irudi kama mwanzo bila operation, otherwise utatokwa povu tu