LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 672
mmejitayarisha kuuliwa, kila la kheri wakuu.
Ccm hamuwezi kuish kwa kuwatisha watu hata siku moja,maisha yamebadilika sasa.
mmejitayarisha kuuliwa, kila la kheri wakuu.
Hayo sio maoni ya wana ukawa ni maoni ya wananchi kupitia tume iliyo undwa na raisi ,sasa hayo maoni ya serikali mbili yametoka kwenye tume gani iliyo undwa na raisi na kukusanya maoni ya wananchi?serikali mbili ukawa si wanajifanya haiwezekani wakt mambo yanaweza rekebishika.
Dah! hapo ni kuachia fataki la nguvu tena unamlenga tumbo la wasirra lazima aharishe!!
" sample iliyotumika kupata tkwimu hizo ni ndogo sana,hivyo hayo si maoni ya watanzania,ni kikundi cha watu wachache tu" by: Magamba BMK
Kibaya ni kwamba mchezo hauna refa...
" sample iliyotumika kupata tkwimu hizo ni ndogo sana,hivyo hayo si maoni ya watanzania,ni kikundi cha watu wachache tu" by: Magamba BMK
babalao Bunge la makundi limeacha Rasimu linajadili mawazo binafsi.[/QUOTE said:Hata waliobaki wanajadili rasimu yao na kuitusi ya wananchi.
Mimi bado najiuliza ni "turning point" ipi iliyosababisha wana-UKAWA kutoka nje ya Bunge. Kama ni msimamo imara wa CCM juu ya Serikali 2 wana-UKAWA wanaufahamu tangu wanaripoti pale Bungeni na wanaonekana walikuwa ready kupigana mpaka mwisho!
Tunajua wana-UKAWA walijenga hoja kuwa Muungano huu hauna Hati na ni BATILI! Hoja hii iliwapa morali wa kusonga mbele, liwalo na liwe! Sote tulishuhudia matusi ya nguoni ya "Mwanasheria Nguli" Tundu Lissu dhidi ya Waasisi wa Muungano! Huu ujasiri aliokuwa nao Tundu Lissu umewashangaza wengi, mpaka mwasisi wa CHADEMA Mzee Mtei alipomkemea Tundu Lissu kwa kukosa hekima na adabu!
Mara tukamwona Mzee Stephen Wassira, almaarufu kama Tyson, akanyanyuka pale mjengoni hivi majuzi akijigamba kuwa atawasilisha Hati ya Muungano ndani ya Siku 2!
Hatua hiyo imebadili kabisa upepo wa UKAWA na tumeshuhudia wakijitoa mjengoni ili kwenda "kushtaki kwa wananchi!"
Bado sitaki kuamini kuwa ni ile Hati ya Muungano halisia iliyowatoa mjengoni lakini kuna mazingira yanayounganisha matukio hayo mawili!
Hii ni kwa sababu UKAWA walijua msimamo wa CCM ambao hakuna asiyefahamu kuwa JK aliusisitiza wakati wa Hotuba ya Kuzindua Bunge Maalum la Katiba! Kama hivyo ndivyo basi, WHY NOW?
TUJADILI!