oyeiko ngeleja
Member
- Oct 16, 2013
- 58
- 39
Kikao tulichofanya wanaharakati mapema leo tumeadhimia kuungana na team ukawa ili kuongeza nguvu kudai katiba ya wananchi,aidha chama cha mashetani(ccm) kimetudhalilisha sana watanganyika kwa kutohitaji tanganyika huru irudi wakati zanzibar ni nchi huru kwa mujibu wa katiba ya zanzibar,wanaharakati tunatoa rai kwa serikali kuwa tutafanya mikutano na maandamano popote pale kuamasisha umma kudai katiba ya wananchi na tunaliomba jeshi la polisi kukaa mbali na sisi maana hatutarudi nyuma,wao wamepanga kutuua sisi tumejitayarisha kuuliwa,eeeeeh mwenyezi mungu tusaidie.