shark siyo tu kismati vilevile msimamo. Najifunza kwa asprin alivyo na msimamo.
Baada ya kuachana na ndoa ya MATESO ya Mamndenyi nimekaa na halmashauri ya kichwani mwangu na nimemchagua Madame B kuchukua nafasi hiyo. Namuahidi kumpenda naye anipende kama Beibe Nasty anavyopendana na Judgement, Asprin na wakeze nk AJE SASA M.B.
ha ha ahaaah!! Tutashuhudia vita humu ndani......thubutuu!! Ruttashobolwa nishamtumia kombora la kiajemi na huenda usimsikie tena hapa.
MadameB, nimekupa ruksa tena sina kinyongo na mtalaka wangu.
Hapana japo mwanao nimeachana nae kitambo,
roho inaniuma Mkwe.
itoe na umwachie hapo mezani na ujumbe wa kumuaga kabisa. Ntakupa ile isiyochuja mpenzi.
Kwa kuwa umeshakuwa mtu mzima maamuzi unayo wewe mwenyewe binti yangu.
Nitakuangaliaje usoni nikikutana na wewe njiani mkwe?
Kwani mwanao Ruhazwe alishaoa?
Nimem-miss mwanao,japo ni zilipendwa wangu.
Ruhazwe hajaoa na hawezi kukusahau maishani mwake,
hata mimi mama lile gari ulilonipa ndo linalosaidia kufanya kazi za shamba na za mifugo pale home,
hivi unawezaje kula la na baba mkwe wako Arushaone.
Lakini mkwe,
si nimeshaachana na kijana wako?
Halafu kumbuka Arushaone kamkuta Ruhazwe umeshamzaa na baba mwingine.
Hvyo kiuhalali si baba mkwe wangu kiuhalali,ni jina tu kwa kuwa alikuwa anaishi na wewe mkwe.
Ni shetani tu kanipitia.
Ila mwambie baba Arushaone hata hvyo mimi nina wangu ruttashobolwa.
Baada ya kuachana na ndoa ya MATESO ya Mamndenyi nimekaa na halmashauri ya kichwani mwangu na nimemchagua Madame B kuchukua nafasi hiyo. Namuahidi kumpenda naye anipende kama Beibe Nasty anavyopendana na Judgement, Asprin na wakeze nk AJE SASA M.B.
Kabla sijaamini ukisemacho, hebu kwanza nipe kopi ya hii makitu...ulompa MamndenyiBaada ya kuachana na ndoa ya MATESO ya Mamndenyi nimekaa na halmashauri ya kichwani mwangu na nimemchagua Madame B kuchukua nafasi hiyo. Namuahidi kumpenda naye anipende kama Beibe Nasty anavyopendana na Judgement, Asprin na wakeze nk AJE SASA M.B.
Kabla sijaamini ukisemacho, hebu kwanza nipe kopi ya hii makitu...ulompa Mamndenyi
Kabla sijashuhudia haya makitu... toka kwa ruttashobolwa