BAADA YA TALAKA NAOA MKE MPYA! Ni nani??

Ntake radhi kwa kusema me ni minor. Kweli ntake radhi. Me kwa taarifa yako nimekuzidi kwa mbali sana ila kwa tabia ya kule kwenu za kujisifu now unapoelekea siko. Nasema hivi, hapa niko na ericb52 na shemejiye mpya madame b. Twala na kunywa. Period.

Unanipa sh ngapi ili unishawishi nimuache Rutta?
 
Ntake radhi kwa kusema me ni minor. Kweli ntake radhi. Me kwa taarifa yako nimekuzidi kwa mbali sana ila kwa tabia ya kule kwenu za kujisifu now unapoelekea siko. Nasema hivi, hapa niko na ericb52 na shemejiye mpya madame b. Twala na kunywa. Period.

Sidhani kama nimekosea kwani unatakiwa uthibitishe nimekosea kukuita hivyo. ieleweke kwamba maandishi na matendo ya mtu yanaweza kutambulisha umri wake.

kwa matendo yako tu na maneno yako ni ushahidi tosha wewe ni minor
ndio maana umekimbilia kutoa talaka badala ya kutumia njia ya mazungumzo kwanza.

Kukimbilia wake za watu bila kujipanga au kufikiri vya kutosha ni ushahidi wangu mwingine.

Tutaendelea na darasa mpaka utosheke.
 
Mahabuba Rutta,
roho ya usaliti inanizidi nguvu.
Au huyu Arushaone kaniroga?
Mbona naanza kuhisi dalili ya kumkubali?
Hebu kaza uzi utanikosa wangu.
Aagghrrr...!!!
Jitahidi.
 
Last edited by a moderator:
Hapo unaingia kwenye uzinzi tu, kwani ndoa ni mume mmoja mke mmoja mpaka kifo. Vinginevyo ni kujidanganya ya kuongozwa na ibilisi.
 
Bora uje umpe neno.
Arushaone njoo huku kuna maujumbe yako toka ktk kitabu Kitakatifu..
 
Last edited by a moderator:
uoni huyo kijana anajaribu kunishika sharubu?

Mbona mwenendo waonesha tayari mtoto yuko sharubuni ?
Na kuna kila diagnosis kua mtoto anapata msukumo then invantion power kutokea kwa Madame mwenyewe ? Ni kama vile panaonesha kulikua na syndicate plan already! Bt Kimtazamo wangu.
 
Naye Ni mwanamke

QUOTE=Arushaone;4604804]Baada ya kuachana na ndoa ya MATESO ya Mamndenyi nimekaa na halmashauri ya kichwani mwangu na nimemchagua Madame B kuchukua nafasi hiyo. Namuahidi kumpenda naye anipende kama Beibe Nasty anavyopendana na Judgement, Asprin na wakeze nk AJE SASA M.B.[/QUOTE]
 
Mmmh!
Leo imekua vya "lawyer wenu?"
ni wewe Madame? au umetoka umeisahau simu watoto wanaichezea wakichart nayo? Au nini ?

Ni mimi mtupu.
Nimesema hapa Arushaone keshaniendea kwa Kamgambile!!
Vya juu naweka chini na vya chini naweka pembeni.
Judgement niombeeni nahs nuru inapotea kwa Rutta inawaka kwa AraChuga 1.
 
Last edited by a moderator:
Mbona mwenendo waonesha tayari mtoto yuko sharubuni ?
Na kuna kila diagnosis kua mtoto anapata msukumo then invantion power kutokea kwa Madame mwenyewe ? Ni kama vile panaonesha kulikua na syndicate plan already! Bt Kimtazamo wangu.

Hapana!!
Nampenda sana Rutta wangu,enzi hzo twaenda Drive Inn kuangalia Movie ya Andaz na Draculla au DDC kucheza Sendema ya Motto mithili ya Washawasha.
Au pale Langa'ta Kinondoni,
Cwez kumtupa.
 
Hapo unaingia kwenye uzinzi tu, kwani ndoa ni mume mmoja mke mmoja mpaka kifo. Vinginevyo ni kujidanganya ya kuongozwa na ibilisi.

ESAM acha kuingilia anga zangu! Shauri yako mimi ndio Arushaone bhana!
 
Back
Top Bottom