BAADA YA TALAKA NAOA MKE MPYA! Ni nani??

Kwanza naomba ni mwambie asubuhi ni njema sana.

si kosakumpenda mke wa mtu kimoyomoyo lakini ni kosa kwa vitendo.
kwanza your still minor to get into marriage thats why i warned my client mamdenyi before.

sasa umekuja na story umemuacha mteja wangu eti una mtaka mke wa mtu, kwa hili nitakusamehe because you need psycological help.

kwanza huwezi kumuacha mtu ambaye hajawai kuwa mkeo
Na talaka haitolewi kwa maneno bali kwa taratibu tena za kisheria baada njia ya mazungumzo kushindikana.

sitambui kisheria kama ulikuwa mme wa mteja wangu sababu your still minor.
 
ndiyo maana ulisoma vitabu vyote na ukawa na akili kama ya baba wa Taifa hili,
mpe ukweli wake huyo brother wa mgodini kwa kuwa ana mautani mengi sana.

Kwanza naomba ni mwambie asubuhi ni njema sana.

si kosakumpenda mke wa mtu kimoyomoyo lakini ni kosa kwa vitendo.
kwanza your still minor to get into marriage thats why i warned my client mamdenyi before.

sasa umekuja na story umemuacha mteja wangu eti una mtaka mke wa mtu, kwa hili nitakusamehe because you need psycological help.

kwanza huwezi kumuacha mtu ambaye hajawai kuwa mkeo
Na talaka haitolewi kwa maneno bali kwa taratibu tena za kisheria baada njia ya mazungumzo kushindikana.

sitambui kisheria kama ulikuwa mme wa mteja wangu sababu your still minor.
 
Kwanza naomba ni mwambie asubuhi ni njema sana.

si kosakumpenda mke wa mtu kimoyomoyo lakini ni kosa kwa vitendo.
kwanza your still minor to get into marriage thats why i warned my client mamdenyi before.

sasa umekuja na story umemuacha mteja wangu eti una mtaka mke wa mtu, kwa hili nitakusamehe because you need psycological help.

kwanza huwezi kumuacha mtu ambaye hajawai kuwa mkeo
Na talaka haitolewi kwa maneno bali kwa taratibu tena za kisheria baada njia ya mazungumzo kushindikana.

sitambui kisheria kama ulikuwa mme wa mteja wangu sababu your still minor.

Beib wangu,
hebu mpe makavu huyo.
Anataka kukupindua.
 
Nitakuangaliaje usoni nikikutana na wewe njiani mkwe?
Kwani mwanao Ruhazwe alishaoa?
Nimem-miss mwanao,japo ni zilipendwa wangu.

wangu usijali niko ndani ya nyumba naangalia jinsi minor anavyo taka kucheza nami
 
Haya wangu,
ila angalia wasikuumize hubby.

usijali wangu huyu nampa darasa wala si size yangu mpaka ni pambane nae nitajaribu kumuelimisha kwa vifungu tu na nina kuhakikishiA atakimbia darasa.

"wangu mtoto haki yake ni pencil na daftari lenye mistari ili aweze kuandika herufi vizuri"
 
Nawewe umeamua kuungana na mwenzio? umekosea.kwani waongo wanasema umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, katika huu msemo wamesahau kwamba wadhaifu wakiungana bado kutakuwa na kundi kubwa la wadhaifu.

ni vyema ukatafuta mtu mwingine wa kuungana nae kupambana nami kwani naona wote nyie nitawashinda kirahisi sana.

nahisi hujamuelewa alichokuwa anakisema mdogo wangu Pombekali,fuatilia post na quote yake pale juu lawyer
 
Last edited by a moderator:
ngoja mimi niangalie hii vita mwisho akipata na mimi nitafute wakumpora

kijana hakuna vita hapa hili ni darasa ambalo mwenzio kaomba nanimpa.

hata kwenye ndondi huwa wanapambana watu ambao wanaendana kwa kila kitu ikiwemo uzito.
naomba hili uliite darasa sio vita maana kijana wako nimemzidi kila kitu,sijui kama unataarifa kama ni minor
 
Bora umwambie maana anacheza na moto huyo kijana.

Vizuri sana, kazi nzuri, haiwezekani mtu ajitangazie tu nia kwa mke wa mtu afu hata kwenye kamati hajapita, ina maana hatambui majukumu tuliopewa na mkuu Baba V!?
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa nimejibanza hapa nakuangalia unavyobwabwaja nashindwa kujizuia kucheka ha ha ha! Teh teh! Kwi kwi kwi! Duh kweli wewe hujiamini madame b niko naye hapa? Ni bonge la mdada. Nilimtumia ticket ya ndege! Ask her now! She's so sweet!
 
Kijana mbona unataka kucheza na wakubwa?

Mimi najua hatuwezi kupambana maana wewe si size yangu.
Kwanza nilikwambia we bado ni mdogo kwa swala landoa au mahusiano ushahidi ni jinsi ulivyomshindwa mteja wangu!

Kwanza unatakiwa ujifue sana jinsi ya kutunza na kuishi na mwanamke ndio uwaze kumpata mwanamke mdogo wangu!

Nafurahi kusikia kumbe huwa unaota kumpata my baby, pole sana maana najua unajifurahisha mdogo wangu!

Hawa wanawake usituone tuna wamilki ni kazi sana na uwe na mbinu mpya kila siku,mdogo wangu huna jipya zaidi ya kujua kuacha! Ukisha kua mkubwa jifunze kukaa na mwanamke alaf njoo tupambane kinyume na hapo na kuonea tu.
Hii shule haitokwisha hadi hapo utakopo tosheka!

Mchana mwema mdogo wangu.

Ruttashobolwa nimejibanza hapa nakuangalia unavyobwabwaja nashindwa kujizuia kucheka ha ha ha! Teh teh! Kwi kwi kwi! Duh kweli wewe hujiamini madame b niko naye hapa? Ni bonge la mdada. Nilimtumia ticket ya ndege! Ask her now! She's so sweet!
 
Ntake radhi kwa kusema me ni minor. Kweli ntake radhi. Me kwa taarifa yako nimekuzidi kwa mbali sana ila kwa tabia ya kule kwenu za kujisifu now unapoelekea siko. Nasema hivi, hapa niko na ericb52 na shemejiye mpya madame b. Twala na kunywa. Period.
 
Back
Top Bottom