Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,015
- 95,369
Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.....
Yaani mie ODM huyu huyu mzee wa mapozi??
Kinachonishangaza eti cacico, Yummy, BADILI TABIA, Zinduna wanakubaliana na huu uzushi wa Erickb52. Hommie Kaizer, unaweza kuwafahamisha hawa wazushi hii picha hapa chini ulinipiga nikiwa wapi?
Na hapo ni kabla sijajiunga na commedy
Ila kwa sasa ndo nshazeeka tena lakini bado wamo kiaina, si eti Kongosho?
Kama mnabisha, muulizeni mzee mwenzangu Bishanga hapo chini..
Au Homeboy wangu Kaizer, shabiki namba moja wa Yanga.
Mod Roulette, naomba umwambie huyu kijana anitake radhi. Akikataa mpige ban au niruhusu nibandike zile picha zake nlizomdungua akioga choo cha pasipoti saizi kule Mwananyamala kwa Kopa.
Last edited by a moderator: