Baada ya msuto wa Bishanga jana.....leo ni Kiduku kwa kwenda mbele

Hahahaha.... khaa!

attachment.php

hahahahaha, this is so unfair!
 
Ngoja niandae mashairi ya wimbo wa kuingilia ukumbini, maana leo nataka nitoe ma-free style
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Erickb52 nimepewa memo kwa kucheka kama chizi! jamani huyu ndio babu Asprin??? naomba picha ya Kongosho ili nitafute uwiano, pulizzzzzzzzzzzz! kha! i like jei efu jamani kha!
Hahahahahaaaaa huyo ndie mwenyewe babu Asprin ....
Nashangaa Yummy na BADILI TABIA wamempendea nini
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaaaaa mbavu zangu mieeee.............:fear: :A S 109:



Nimeairisha rasmi kutokana na hiyo picha hapo
Hahahaaaaa Yummy ulidhani ni ka babu potabo?
Muulize mwenzio balili Tabia kidogo atapike utumbo alipofanywa godolo
Lol kilo mia 480 utaziweza wewe?
 
Last edited by a moderator:
Nyie endeleeni na viduku vyenu Bishanga ameenda kuwachukulia RB.....mjumbe hauwawi
Hee tumwogope Bishanga ?
Hata aje na SMG hana lolote
Ila mi simo kwenye kiduku,siunajua tena mi mwanaume na kiduku ni cha wamama,wabibi na wadada duu
 
Last edited by a moderator:
Hee tumwogope Bishanga ?
Hata aje na SMG hana lolote
Ila mi simo kwenye kiduku,siunajua tena mi mwanaume na kiduku ni cha wamama,wabibi na wadada duu

Mbo unaogopa,subiri uje utolewe kiuno......inakuhusu sana si ulisema unaenda kuchungulia makalio ina maana utakua eneo la tukio!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom