Baada ya msuto wa Bishanga jana.....leo ni Kiduku kwa kwenda mbele

Usijali laazizi mupya cacico, kwako wewe ni Full burudani, kubembeleza na kujali. Hili pozi nlilopiga wakati tunapiga picha ya Christmass unalionaje? Najua kina Yummy na gfsonwin watakuwa wanatuonea wivu. Chezeya Carpet letu la malovee tokea Sudan ya Kusini?

attachment.php
Asprin hivi haya mapicha nayapataga wapi na wenye ndugu zao wakijua utakoma lol?
 
Last edited by a moderator:
Mentor una hamu ya kusutwa naona! nimuite Zinduna?? hebu kuwa na kifua mtoto wa kiume, we si nilikuita pm ukaringa, sa muache mwenzio anilee mie ebo!

Ye ye ye...yani kuchelewa kujibu tu ndo ukamchagua my GRANDFATHER over me!?????? kweli dunia imepinduka....haya bana mi wala sina hofu keshokutwa anafariki mzee mwenyewe umri umemtupa mkono huyo...m waiting by ze corner...:A S-rose:
 
Tena wewe gfsonwin nimekustahi sana..... sasa kwakuwa umeleta kiherehere, ngoja niwaonyeshe watu baba nanihii alivyokushughulikia baada ya kukufumania na Kaizer


attachment.php

mmh! jamani acha matani huyu ni ajali au lol! umeniharibia mchana wangu leo. Mungu amponye tu jamani anaumwa staki tena
 
Tena wewe gfsonwin nimekustahi sana..... sasa kwakuwa umeleta kiherehere, ngoja niwaonyeshe watu baba nanihii alivyokushughulikia baada ya kukufumania na Kaizer
Kaizer kaizer kaizer kaizer asante sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.............yani hivi ivi ivi mbele ya macho yangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom