Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,378
- 3,379
Haya leo jioni saa kumi tukutane pale Break Point tuselebuke KIDUKU mpaka majogoo
Kama tulivyokubaliana jana jioni baada ya msuto wa Bishanga tulipokutana pale ukumbi Malaika kupoza makoo na kuselebuka kidogo kama mnavyomuona hapo, Kipipi, TaiJike, mbalu, Cantalisia, Smile, gfsonwin, cacico, Preta, Aunt Lizzy alikuja mwishoni kabisa na Erotica wakiselebuka KIDUKU.
Leo ndio shughuli yenyewe..............
Dress Code, utakavyopenda.
Asprin una mtindo wa kuja kutuchungulia makalio, nakwambie leo ukitia timu tunakusuta kama mwenzio
Last edited by a moderator: