Baada ya msuto wa Bishanga jana.....leo ni Kiduku kwa kwenda mbele

Ofisi yenyewe kama mwendo ndio huu, si heri ucheke tu bibie cacico, taifa wala halikutegemei kiviiile
attachment.php
Asprin Hii picha kwa hisani ya nani ?:embarrassed:
 
Last edited by a moderator:
Hasutwi Bishanga wala bepari
Toto lina pesa, toto lina kifua, toto B lina misuli

he he he he, ruksa kuweweseka Baby Zedi.

Timi Bishanga hebu nyanyueni viuno juu mdondoshe mayai lol
 
He he he he, hili hujichunga
Tena mkizubaa linaiba mikati madukani linakula, ushaona mbuzi anakula mikate weye?

Nimecheka sana, eti kagogo wasukuma wakaja wachaga lol

we babu Asprin kipi kinachokufanya ucheke hivyo?? na hizo google hapo ndio nn? sijaelewa! kiduku hakijaanza tayari udenda unakutoka, kikianza je??? mmmhhh jamani Kongosho yu wapi achunge mumewe huku, hatupendi kesi baadaye siye, ebo!
 
Aliyesutwa kasutwa, atajibeba leo
Mchonganishi wa watu, atajibeba leo
Alosema mambo ya watu, atajibeba leo
Shankupe mshambenga, atajibeba leo
Jamani Bishanga Mshaija, atajibeba leo
Akome kusema ya watu, atajibeba leo


Aiii Aiiiii, unalo babu weye
reneebc1.jpg
 
Last edited by a moderator:
Aliyesutwa kasutwa, atajibeba leo
Mchonganishi wa watu, atajibeba leo
Alosema mambo ya watu, atajibeba leo
Shankupe mshambenga, atajibeba leo
Jamani Bishanga Mshaija, atajibeba leo
Akome kusema ya watu, atajibeba leo


Aiii Aiiiii, unalo babu weye
reneebc1.jpg
Bishanga nakwisa ona jaluo naimba taarabu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom