Baada ya kuongoza matokeo ya Ujumbe wa NEC, Wassira ana nafasi kubwa kupitishwa kwenye Urais Pia

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Historia kujirudia tena mkutano MKUU wa Ccm baada ya WAJUMBE kuwa niwalewale watakaopigakura tena ktk mkutano MKUU ujao ambao walimwamini zaidi Wasira na kumpitisha Kwa kishindo.

WAJUMBE hao wa takao piga kura tena kwenye mkutano MKUU 2015 NAFASI ya mwenyekiti wa Ccm na mgombea kupitia Ccm NAFASI ya URAISI.

attachment.php
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    99.2 KB · Views: 1,343
Historia kujirudia tena
mkutano MKUU wa Ccm baada ya WAJUMBE kuwa niwalewale watakaopigakura
tena ktk mkutano MKUU ujao ambao walimwamini zaidi Wasira na kumpitisha
Kwa kishindo. WAJUMBE hao wa takao piga kura tena kwenye mkutano MKUU
2015 NAFASI ya mwenyekiti wa Ccm na mgombea kupitia Ccm NAFASI ya
URAISI.

Sisi vijana wa Iringa tunalijua hilo tokea mwaka wa uchaguzi wa chama alipo zoa kura halali 98%:
 
Kwani imeonyesha hamumjui Wasira kwanza. Pili hata historia yake hamuifahamu . TATU URAISI sio sura Kama ingekuwa hivyo Mugabe asingekuwa RAIS. Kama ilivyokuwa Kwa mkapa ndani alimfahamu mkapa 1995 nawaeleza tena historia kujirudia na WASSIRA hutajwa sana na wakulima na wafanyakazi hasa mikoani zaidi ya mikoa 24 WASSIRA hutajwa ikumbukwe kuwa tunamtafuta mwenyekiti wa Ccm kwanza na pia mgombea wa URAISI 2015. Toleo linalo la WASSIRA wa watanzania litaleta historia yake... Asanteni
 
Jamani kama Mwl hakukupa nafasi ujue huna chako nchi hii...
Wasira aliaminiwa na Mwl na wanaIringa tunakuamini sana na tupo njiani kuandaa mwaliko pale utakapo pata fursa kamili kutoka CCM.
 
Jamani mwacheni Wassira ajiandae kuapishwa 2015, kwanini kila siku yeye tu kwenye mitandao? Ukienda Twitter Wassira, Facebook Wassira, Instagram Wassira, Whatsapp Wassira, UKAWA Wassira,CCM Wassira,Magazeti Wassira..

Kwani hakuna wagombea wengine? Please leave him alone.
 
Tunamfahamu wasira hasa huku lindi,mtwara,ruvuma,mbeya anauwezo mkumbwa tangu alipokuwa waziri wa kilimo mazao hayakulala mwaka alifanya vizuri...anastahiliku pewa nchi atuongoze
 
Jamani kama Mwl hakukupa nafasi ujue huna chako nchi hii...
Wasira aliaminiwa na Mwl na wanaIringa tunakuamini sana na tupo njiani kuandaa mwaliko pale utakapo pata fursa kamili kutoka CCM.

wanaIRINGA Gani boya wewe? Tangu lini mtu wa pawaga vjjn huko akatusemea wanaIRinga?
 
Ukome kutumia uwingi wa kabila kutudharirisha eti mwana iringa pawaga nako network inashika limbukeni ww na CCM yako yamafu
 
wanaIRINGA Gani boya wewe? Tangu lini mtu wa pawaga vjjn huko akatusemea wanaIRinga?

Sasa kama hutaki saga chupa unywe,,na hii ndio hali halisi kwa pawaga hawezi kutoka mtu wa uwakilishi?Huku ndio Iringa na Wasira ndiyo turufu 2015:::::jibu hoja kwa hojo ndio uungwana....
 
Yaweza asiwe na elimu ya vyeti hiyo sii hoja kama ana elimu halisi kichwani, KWANI JACOB ZUMA ANA ELIMU GANI ? ?
 
Yaweza asiwe na elimu ya vyeti hiyo sii hoja kama ana elimu halisi kichwani, KWANI JACOB ZUMA ANA ELIMU GANI ? ?

Elimu na uzoefu vyote anavyo. Soma wasifu wake ujionee


Stephen Masato Wasira-alizaliwa mwaka 1945 Wilayani Bunda,Mkoa wa Mara. Akiwa mdogo Stephen M.Wasira alisoma Elimu yake ya Msingi Shule ya Msingi Balili na Kisangwa Middle School, Wilaya ya Bunda, baada ya hapo aliendele a na masomo yake ya Sekondari katika Shule ya-British Tutorial College.

Aliendelea na Masomo ya ngazi ya juu nchini Marekani huko alipata kusoma shahada Tatu za Uchumi na Utawala. Alisoma Shahada ya Kwanza katika Uchumi na Mahusiano ya Kimataifa,Shahada ya Uzamili katika Uchumi na Shada ya Uzamili katika Utawala, zote kutoka Chuo Kikuu cha Amerika (American University) Jijini Washngton D.C.

Soma zaidi http://stephenwasira.co.tz/mobile/?p=bio
 
Elimu na uzoefu vyote anavyo. Soma wasifu wake ujioneeStephen Masato Wasira-alizaliwa mwaka 1945 Wilayani Bunda,Mkoa wa Mara. Akiwa mdogo Stephen M.Wasira alisoma Elimu yake ya Msingi Shule ya Msingi Balili na Kisangwa Middle School, Wilaya ya Bunda, baada ya hapo aliendele a na masomo yake ya Sekondari katika Shule ya-British Tutorial College.Aliendelea na Masomo ya ngazi ya juu nchini Marekani huko alipata kusoma shahada Tatu za Uchumi na Utawala. Alisoma Shahada ya Kwanza katika Uchumi na Mahusiano ya Kimataifa,Shahada ya Uzamili katika Uchumi na Shada ya Uzamili katika Utawala, zote kutoka Chuo Kikuu cha Amerika (American University) Jijini Washngton D.C.Soma zaidi http://stephenwasira.co.tz/mobile/?p=bio
Yaani Wassira ndio msomi mwenye degree 3?!!Mbona mzania wa elimu yake ya degree 3 na upeo wake haviendani?
 
Back
Top Bottom