Baada ya kuongoza matokeo ya Ujumbe wa NEC, Wassira ana nafasi kubwa kupitishwa kwenye Urais Pia

Duuuuu!!! Aliwatisha nini jamaa sura au? Huwezi jua, yawezekana NEC walibadilisha madhumuni ya kikao nakuamua kuvote kwa kutafuta handsome wa Tanzania.
 
Inamana hata wewe kwa uelewa wako huo ulio nao unamini kwamba wassira anatosha kuwa raisi wa hii nchi??hata kama angekuwa na PhD?

Hapana mm sio mwana siasa kwa maana sielewi uwezo wake kwa karibu hivyo siwezi jua ana faa au la, ila nachoongelewa ni kigezo cha elimu kisiwe tu ndio KEY FACTOR OF DECISION, ndio maana nikatoa mfano wa JACOB ZUMA ? ? ?
 
Inamana hata wewe kwa uelewa wako huo ulio nao unamini kwamba wassira anatosha kuwa raisi wa hii nchi??hata kama angekuwa na PhD?

Akili zako zina matongotongo.
Hujui nini kuhusu Wassira? au unajaribu kuigiza?

Huyu Wassira kawa mbunge siku nyingi Tangu Enzi za Mwalimu, kawa Waziri mdogo na wakati wa Nyerere na Mwalimu alimuamini sana.
Kawa Mkuu wa Mikoa ya Mara na Pwani wakati wa Nyerere.

Kawa Waziri wa Wizara muhimu Enzi za Mwinyi.
Wakati huu wa Kikwete hajawahi kushika wizara tofauti na zile zinazogusa Maisha ya Watu, Maji,Tamisemi na Kilimo.

Leo hii ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu.

Wewe Mr.LOOOK macho yako yana matege?
Kama unachongo twambie.
Kama akili yako unaweza kuchambua na kuelewa basi pitia hapa...
www.stephenwasira.co.tz
 
ukifuatilia matokeo ya uchaguzi wa ndanu ya ccm na pia ukifuatilia ni nani ndani ya ccm ana nguvu.
Na ukijiuliza kwanini wassira ni mshauri wa rais na jana kwa nini aliruhusiwa kuhudhuria mjadala wa katiba basi utaelewa kuwa huyu ndiye mgombea wa urais kupitia ccm 2015.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kwani imeonyesha hamumjui Wasira kwanza. Pili hata historia yake hamuifahamu . TATU URAISI sio sura Kama ingekuwa hivyo Mugabe asingekuwa RAIS. Kama ilivyokuwa Kwa mkapa ndani alimfahamu mkapa 1995 nawaeleza tena historia kujirudia na WASSIRA hutajwa sana na wakulima na wafanyakazi hasa mikoani zaidi ya mikoa 24 WASSIRA hutajwa ikumbukwe kuwa tunamtafuta mwenyekiti wa Ccm kwanza na pia mgombea wa URAISI 2015. Toleo linalo la WASSIRA wa watanzania litaleta historia yake... Asanteni
ais
wewe naona unaota ndoto za mchana kweupe,hahahaha WASSIRA kuwa Rais aisee hiyo ikitokea na ile ndege ya Malasia iliyopotea itapatikana na abiria wote wakiwa hai siku hiyohiyo WASSIRA atakapokuwa rais.
 
Nani akapigie kura kivuli? Maana nina uhakika picha ya Wassira haitaonekana! Just joking jaman msinitoe meno.
 
Back
Top Bottom