Baada ya kuimaliza NCCR, Marando sasa aanza na CHADEMA

nahitaji kujua umri wako kama una miaka zaidi 67 basi unabembeleza pension upewe na ccm ,watz tumekustukia huwezi kututeka kashauriane na bi nyau pamoja na bonge bila kumsahau popo bawa jinsi ya kuinusuru cc magamba ife kifo kizuri

Kulikuwa na umuhimu gani wa ku quote post yote ile, ka issue yk ni kujua umri wake? Wengne hatutumii PC
 
Muhtasari wa habari ni: Marando amtaje kwa jina mtoto wa kigogo wa CCM. Sasa kitabu chote hicho kuna somo la fasihi ndani ya JF? Labda huenda na wewe unamjua mtoto mwenyewe tutajie basi. Tena wewe mwandishi kamwone marando atakupa jina lakini ukae nalo kichwani usitutajie kwani hatulihitaji.
 
JUMAMOSI iliyopita, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando alinukuliwa akiwatetea wabunge wa chama hicho John Mnyika na Tundu Lissu, kwa kusema hawakutishia kumuua Mbunge wa Iramba Magharibi mkoani Singida kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba.


Huyo ndiye Mabere Marando, Katibu Mkuu wa zamani wa NCCR – Mageuzi aliyeongoza harakati za kukimaliza kisiasa chama hicho kuanzia mwaka 1997 – 1999, yule ambaye sasa anatetea uozo utakaoisambaratisha Chadema kwa kutumia uzushi mwingine..........................!


Tandaleone,pole sana ila ngonjera yako haina mashiko. Topiki yako ni nzuri ila umeshindwa kuumba mantiki ya kuijenga ili iweze kuleta maana. By writing hear says and unfounded claims you have just defeated the very objectivity of what you wanted to write. Think objectively before you write. Or were you writing for fun? That makes me wonder! If it is for fun,please use this precious time to teach a neighbor's child Mathematics or English or whatever that will help a child. I think such will be a useful way to spend your past time and even the Heavens will embrace and rewards you for that.
 
32.5% Umejitahidi sana. Siku nyingine andika insha fupi, maana watu wengi tumefunga na hatuna muda wa kusoma msululu wa pumba. Kwa taarifa yako, mtu mmoja, hata awe shushushu kiasi gani, hawezi kukiua chama. The worst scenario ni kukidhoofisha tu.

Halafu watanzania hatuna budi kuondokana na "wrong perception" kwamba kazi ya usalama wa taifa ni kwa ajili ya chama kimoja tu (CCM). Apparently, CHADEMA kimekuwa ikipata habari za kiusalama kutoka kwa baadhi ya wanausalama wenye mapenzi mema na nchi yetu. Hivyo, kwamba Marando aliwahi kuwa Afisa wa Usalama wa Taifa haimwondolei sifa ya kuwa mzalendo.
 
Back
Top Bottom