Tundu Lissu akiwa Katibu Mkuu wa CHADEMA chama kitakuwa moto sana kwa Ushindi mnono 2025!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Nimesikia fununu mahala fulani nami nikaunga mkono kwa 100%.

Watanzania wanataka Chama chenye kuamsha mioyo yao kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema na DP ya Rev Mtikila 1995.

Kamati Kuu ya CHADEMA hima hima!

Nawatakia Sabato Njema 😀
 
Nimesikia fununu mahala fulani nami nikaunga mkono kwa 100%

Watanzania wanataka Chama chenye kuamsha mioyo yao kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema na DP ya Rev Mtikila 1995

Kamati Kuu ya Chadema hima hima !

Nawatakia Sabato Njema
Kuipa chadema nchi!!!!!!!!????????
 
Nimesikia fununu mahala fulani nami nikaunga mkono kwa 100%

Watanzania wanataka Chama chenye kuamsha mioyo yao kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema na DP ya Rev Mtikila 1995

Kamati Kuu ya Chadema hima hima !

Nawatakia Sabato Njema 😀
Mbowe kwanza apishe then ndio maisha mapya yatendelea
 
Nimesikia fununu mahala fulani nami nikaunga mkono kwa 100%

Watanzania wanataka Chama chenye kuamsha mioyo yao kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema na DP ya Rev Mtikila 1995

Kamati Kuu ya Chadema hima hima !

Nawatakia Sabato Njema 😀
Nchi haitolewi kwa vikaratasi.
 
Nimesikia fununu mahala fulani nami nikaunga mkono kwa 100%

Watanzania wanataka Chama chenye kuamsha mioyo yao kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema na DP ya Rev Mtikila 1995

Kamati Kuu ya Chadema hima hima !

Nawatakia Sabato Njema 😀
mi naona angekua kwenye bodi ya wadhamini angefiti zaidi
 
Nimesikia fununu mahala fulani nami nikaunga mkono kwa 100%.

Watanzania wanataka Chama chenye kuamsha mioyo yao kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema na DP ya Rev Mtikila 1995.

Kamati Kuu ya CHADEMA hima hima!

Nawatakia Sabato Njema
Hakawii kukimbilia kwao huyo
 
Nimesikia fununu mahala fulani nami nikaunga mkono kwa 100%.

Watanzania wanataka Chama chenye kuamsha mioyo yao kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema na DP ya Rev Mtikila 1995.

Kamati Kuu ya CHADEMA hima hima!

Nawatakia Sabato Njema 😀
Unahangaika sana siku hizi.
Hawa wanaokupa kazi hizi ngumu hawajui kuwa huna uwezo wa kuzifanya?
 
Back
Top Bottom