Tundu Lissu ashauriwe ajiunge na NCCR Mageuzi

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Habari JF,

Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala.

Mlio karibu na Lissu mshaurini aungane na Mbatia NCCR Mageuzi, sisi wazalendo wa hili Taifa tutawaunga mkono.

Nasema NCCR Mageuzi sababu ni chama ambacho hakimilikiwi na Mtu mmoja.​
 
Habari JF, nionavyo mimi huyo mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala.

Habari Jf ,Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala...​

Wananzengo wameanza kusema eti anahujumiwa....ila hakuna jipya kwa wanasiasa!

Yeye vs...
IMG-20230521-WA0015.jpg

IMG-20230521-WA0019.jpg

IMG-20230521-WA0023.jpg

Mzee wa anga.....
IMG-20230517-WA0017.jpg

IMG-20230521-WA0022.jpg
 
Habari Jf ,Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala .

Mlio karibu na lissu mshaurini aungane na Mbatia NCCR Mageuzi ,sisi wazalendo wa hili Taifa tutawaunga mkono .

Nasema NCCR Mageuzi sababu ni chama ambacho hakimilikiwi na Mtu mmoja .​
Sukuma Gang mnahangaika sana na Lissu na Chadema kiasi mumesahau adui yenu ni nani haswa. Huyo Mbatia alishafuruswa NCCR kitambo tu.
 
Habari JF, nionavyo mimi huyo mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala.

Mlio karibu na Lissu mshaurini aungane na Mbatia NCCR Mageuzi, sisi wazalendo wa hili Taifa tutawaunga mkono.

Nasema NCCR Mageuzi sababu ni chama ambacho hakimilikiwi na Mtu mmoja.​
Kwani lisu amesharudi Ubelgiji??? Si mlikuwa mnasema anaongoza chama akiwa ubelgiji?
 
Habari JF,

Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala.

Mlio karibu na Lissu mshaurini aungane na Mbatia NCCR Mageuzi, sisi wazalendo wa hili Taifa tutawaunga mkono.

Nasema NCCR Mageuzi sababu ni chama ambacho hakimilikiwi na Mtu mmoja.​
Wewe nani amekuomba utoe ushauri?
 
Naona watoto wa kutosha
Aisee. Chadema hata vitisheti vikofia kofia hawana vya saizi zao?. Sic

...halafu vichwa vya habari ndio...
"Uwanja Umefurika"

"Wananchi wadai Katiba mpya" kweli? Watoto??
 
Mwenyekiti anatuangusha
 
Back
Top Bottom