Baada ya ku-do....!!!?

Unaweza kufunga goli na akakuambia pole kwa kukukuruka sana na hatimae kufunga goli. Ile asante inakuwa ya juu juu tu ila lililopo moyoni hakuambii ikiwa hujafanikiwa kumfikisha. Nina experiance ya kuambiwa "you are good on this" kwa all my X. Kwahiyo unaweza kuambiwa pole or thanks lakini usiambiwe "you are good on bed"

Kweli kaka! mwambie huyo aelewe! Kuambiwa polee ina maana umetumia minguvu bila mpangilio hadi umekua hoi! lakini if u r told " u r good in bed! hapo ndiyo umemfikisha haswaaa! wanawake siyo wagumu kushukuru endapo wamefikishwa bwana!
 
Utakuta umetumia maufundi yako yote kumridhisha demu na yeye akafurahia sana tu kwa kumfikisha kunako ila hata siku moja hatokupa sifa/hatokushukuru kwa kunaniliu vizuri. Je kwanani wanawake mnakuwa wagumu kushukuru kwa kufanywa vizuri? Nawasilisha.

Wanatoa kaka naona hapo unawasingizia sasa ila huwa wanatoa...
 
Huna ufundi wowote unaojua ndo maana hakuna hata thanks. Halafu thanks hailazimishwi bwana inakuja yenyewe automatically
 
Utakuta umetumia maufundi yako yote kumridhisha demu na yeye akafurahia sana tu kwa kumfikisha kunako ila hata siku moja hatokupa sifa/hatokushukuru kwa kunaniliu vizuri. Je kwanani wanawake mnakuwa wagumu kushukuru kwa kufanywa vizuri? Nawasilisha.

uko sahihi bana, wengine hawajui kushukuru wa kwangu mmh,ananipigapiga mgongoni
 
Too demanding,vitu vingine muwe mnakuja na video hapa,tukuone unavyofanya then tu-judge otherwise, we can't judge ni mchoyo wa shukrani au ni uzembe wako???:car::car:
 
Kwa nini dhana iliyopo ni kufurahisha upande mmoja tuu! Ndio maana wanaume mnakimbilia mikuyati ya Dr Manyau

Love making is a two way traffic. Kwa vile mtazamo wetu ni wa upande mmoja ndio maana unatarajia kupewa asante baada ya ku-do hata kama hukufanya la maana kwa mwenzi wako.
Je, wewe huwa unamwambia asante akikupagawisha??

Binafsi mie tunapeana compliment mara kibao. Kuna siku yeye ndo anapagawisha zaidi - namgongea senksi na mabusu motomoto.
Siku nimempeleka hadi mbingu ya saba - you just see her face hata kabla hajatoa hiyo senksi sweetpie!!!

Na kiukweli huwa wenzetu ni wepesi wa kushukuru wala usiwa-generalize hapa pengine tu hao ulopita wewe hukuwatendea ipasavyo. Zingatia ulichoambiwa na wadau (pengine wewe ni kama taifa stars wanaojisifia kila siku kuwa wamecheza vizuri lakini bado wakafungwa)

Ile kitu ni unifying factor kwenye mahusiano kama wote mtafanya kwa namna sahihi!
 
Back
Top Bottom